Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Yaani hiyo pesa nikiwanayo naogopa kutoka out inabidi niishie out. Kwanza ashukuru huyo binti naona walikuwa mstaarabu SanaVSOP parefu sana. Hata Jameson hainunui 777.
Anatumia na mbebezi laki na 10 anakuja kulalamika huku kama vile katumia heeeeela.
Ushamba kitu kibaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
taja mfano wa ndiga ili tujue kutofautishaNlichokigundua kwa mtoa mada naona bado ni mshamba wa pesa, na sjui mtu classic unamchukulia ktk mazingira anayoishi?? Wajua uclassic wake unakuja vile anaitunza thamani yake na vile anajiweka hadi umezuzuka mwenyewe, afu ujifunze kutofautisha usafiri na ndinga!! We unaonekana una kausafiri
Kabisa mkuu,mkuu niko pamoja na wewe
ukitaka demu classic hapa jijini ni lazima kupretend hasa kwa wanaume wa kawaida tu
lasivyo utaishia kupigwa chini kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23] nimejiuliza sana hili swali.[emoji23][emoji23] tena mediteraneo anajisifia wamekaa mpka usiku, walikula nini na kunywa nini cha bei rahisi hivyo
Mim kutumia 110k,..+ ile ya samak samak kama 80k hviKinachokuuma ni yeye kukaa survey au wewe kutumia 110,000Tzs?
Nmewai kaka,mara mbiliKaka mkubwa hujawahi kula tunda kimasihara?
Mi nawew naona itikad ni ile ile tuuKijana umepewa gari na bro wako ukalioshe we unatumia kutongozea mademu, hafu inaonekana wewe njaa zinakusumbua Mwanamke hata kama anaishi Chanika, au Kisarawe lazima umpeleke maeneo ambayo yatambadilisha fikra zake, nakushauri kama unavipesa vya mawazo acha kutongoza mabinti hovyohovyo tena katika maeneo expensive
Sasa nmekuelewa!!!
Hakuna strategy utaitumia dar na mtoto mkali usitumie pesa kaka,...mtabak kuchat tuu penz hupew,amin hlo kakaYes strategy ni muhimu lkn sio hiyo ya kutumia hela nyingi halafu badae unaanza kulialia kwa kujutia hela yako.
Ziko strategies unaweza kuzifanya bila kutumia pesa Kama umewazoea vizuri wanawake,ila Kama ndio unajifunza swaga za kuchukulia mademu hutaweza kunielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa haizoelek kaka,..labda ukubal tuu kushindwaInaonekana bado hela inamsumbua hajaizoea bado.... Mbwembwe nyingiii utasema kwamba akikaa mbezi beach au masaki atakutana na yenye asali ya nyuki wadogo
Hapa jf dada angu watu tunajifanya sana ila nilichofanya mim weng sanaaa wanafanya ,am talkn abt real life,..wanaume weng tuna judge,hata nyie piaHapo mwisho ndo pamemdefine..
Kuna maisha hajayazoea. Amekariri mtu kupendeza ni kuwa na kipato wakati ni umaridadi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wee ndo utakua unajudge balaa,ila sabab ni jf kila mtu anajifanya tajir,sawaaa,ila kiukwel nilichofanya mim sio kigen kwa wanaume wengMjinga huyu kaja humu anafikiria anamdhalilisha huyo mwanamke kumbe anajidhalilisha yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulipata ulichoomba anapoishi hayo ni yake unless unataka kumsaidia Afu hiyo Mlimani city mnaikuza sana wakati ni sehemu ya kawaida tu.Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.
Mimi nikatangulia, alichelewa sana ila alikuja. Stori za hapa na pale nini, alikuwa kapendeza sana. Alivaa kagauni kanaishia mapajani, msafiiii, kapaka mafuta anang’aa yani.
Sasa jana nilikuwa Sinza ,opposite na mcity naosha ndinga pale karibu na Katalunya ya zamani akanitext "nimekuona nakuja hapo”. Akaja baadae tukaenda Mediteraneo Hotel, si unajua pale uzungu mwingi. Tulikaa hadi usiku, bill kama 110,000.
Usiku ikafika ikabidi nimrudishe nyumbani,akaniambia anaishi maeneo ya Survey pale. Dah! Nilishangaa sana anapoishi hadi nikajutia kwamba huyu kumbe sio matawi ningempeleka tu hata Calabash, nisingeingia gharama.
Nikakumbuka lunch samaki samaki pale roho ikaniuma. Msichana mkali unameet nae Mlimani city unadhani matawi unamtoa masehemu makubwa makubwa unaingia gharama kumbe ni wa kawaida sana ungeweza mpeleka hata kwenye chips vumbi tu!
By the way sijamla bado, ila soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,mim,sjafika huko dada,.hzo huwa ni special occasions,...kwa uchum huu ikizid 110k lazma nijutie dadaWakati wenzie hiyo anampa binti ya nauli baada ya kulipa bill ya kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kakaWe umefuata umatawi au mbunye??
We mbato tu hata kama anishi shimoni au gorofani dushe haliangalii hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app