Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

Mie nashangaa sana mwanaume anayemtia mwanamke mimba kwa kumkomoa haoni hata uchungu kuona damu yake inapotea...hapa huwa pananifanya niwakubali sana wachaga.

inapotea kivip? Mtoto atapata huduma zote anazostahili .... Hyo ndiyo fimbo yenu nyinyi najua ukizalishwa tayar utakuwa umepungua soko
 
mpotezee tu wala usimlipize kisasi yale mambo ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya hata ukimpa mimba ukamwacha utakuwa unatesa damu icyo na hatia forgive and forget
 
Unaonekana bado unampenda na ulipoona amezalishwa imekuuma sanaaa....kwa hyo unatafuta jinsi ya kujipoza maumivu...pole
 
Inaonekana ulikuwa domo zege sana... sasa unataka kulipa kisasi kwa njia za kifedhuri namna hii.
 
Hehehee eti ukimzalisha thamani itapungua!!!
inapotea kivip? Mtoto atapata huduma zote anazostahili .... Hyo ndiyo fimbo yenu nyinyi najua ukizalishwa tayar utakuwa umepungua soko
 
Hehehee eti ukimzalisha thamani itapungua!!!

kama huamin waulize wenzako waliozalishwa nyumban ni wanahaha umri unaenda kila wakimpata mwanaume akijua unamtoto anakula kona
 
Unaonekana bado unampenda na ulipoona amezalishwa imekuuma sanaaa....kwa hyo unatafuta jinsi ya kujipoza maumivu...pole

sijakataa na nimesema kabisa kuwa nilikuwa nampennda sana ila alinifanya niwe na hasira naye baada ya kunifanya mm mdori sasa ule msemo wa kuwa malipo na hapahapa dunian ndio unatimia kwa huyu binti.. Anafuraha sana kuwa na mm na anajutia kuchelewa kuingia kwenye mahusiano na mm lakin hajaujua ukweli kuwa anacheza na simba na atamrarua mda wowote
 
sio kwamba siwez kusamehe ila kinacho nikera kwanini ajilete wakat amezalishwa? Inamaana mm ndio wa kuhudumia watoto wa watu? Au mm ndio nastahili kuishi na mwanamke used? Alinikataa kipindi bado mbichi sasa hv amegalagazwa huko mpaka wamemtelekeza halafu ndio anakuja kwangu kwan mm ni jalala?

we si fisi mla mifupa
 
Kumbe damu za kina id amin bado zipo. Acha ukatili mkuu

sio ukatili ila namshikisha adabu. Na siku ya kumpiga chini ntakuja kumwambia kuwa nakufanyia haya kwasababu ya yale uliyonifanyia kipindi hicho
 
Jinga tu wewe

mkuu spendi matusi na sio kwamba siwez kutukana na hujaombwa ukoment hicho ni kihereher chako na ndicho kilimponza mama yako mpaka sasa kumbuka. Ng'ombe ww
 
Back
Top Bottom