Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

akipiga simu mpotezee ignore sms kama unataka wasichana wabichi usihangaike nae
 
USILOLOPENDA KUTENDEWA WEWE USIMTENDEE MWINGINE according to Blue G


ila hiyo ya kumbebesha mimba mbona mbali sana? wote mlikuwa watoto enzi hizo km ni adhabu pse mbadilishie tu ili ajifunze kwa namna ingine si hiyo unayosema... USIKUBALI KUIACHA DAMU YAKO IPOTEE KWA KUDHAMIRIA.
 
achana nae mkuu....kama ni adhabu mbona ndio hiyo anaitumikia.
'usimlipize mbwa aliyekulamba kwa kumlamba'
 
hakuna kitu kama hicho.... Nmeandika hapa ili wanawake wengne mjifunze kama ulishamkataa mtu tena kwa dharau ukiwa mbbichi sasa unamfuta wa nn wakat tayar umeshakongoloka? Sasa huyu mwnzenu ajiandae kudhalilishwa

hahahahahhahahhaha ur so fun, sasa hapo kuna cha kujifunza? kuwekwa loud speaker unasema umedhalilishwa???? endelea na maisha yako usije ukapata laana bure ukaja kujutia baadae
 
Sasa ukimtimua na mimba si utamtesa mtoto wako mwenyewe? we kama unakisasi nae malizana naye yeye na sio kuhamia kwa viumbe visivyo na hatia. Hta hasira kama zako zitakukost hata kwa mambo mengine kwani toka ulipojua anakuchoresha kwa wenzie umepungukiwa nini?
 
Kisa hk kinafanana kdogo na changu, yalinikuta haya:
Wakati tupo shule kuna mdada nilikuwa nampenda sana tena sana lakini kila nikimweleza mwenzangu hataki na ananitukana ile mbaya, mara ooh wewe ni mfupi sana, sura mbaya, kichwa kibaya huna HADHI ya kutembetea au kulala na mtu kama mimi, koma tena na ukomae kunifuatilia nitakuaibisha huko mbele, sitaki kupata fedheha mbele za watu eti natembea na wewe.
Kuna siku nyingine nikathubutu kumwandikia barua na vizawadi kidogo habadani mtoto wa watu akaja kuisomaa ile barua mbele ya watu tukiwa dinning tunakula na kunitupia tule tuvipodozi na vinguo nilivyompa.
Nikajipa moyo konde maisha yakaenda, ila juzi nimekutana naye kachoka ile mbaya ananishobokea sana, nikamkubalia na kumpele louge.
Nikamvua nguo zote na kumchezea hadi huko chini ile nilivyoona amenyegeka vya kutosha anasubiri tu nimgegede ghafla nikaamka na kuvaa nguo zangu kisha nikamsimulia yote yaliyotokea huko nyuma na kusepa zangu.
Nikamwacha analia sana na hamu zimemzidia.
 
Back
Top Bottom