Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

Ni dada ambaye tulikuwa tunasoma kidato kimoja shule moja mkoan Mbeya. Nilimpenda sana huyu dada ikabidi nmwelezee ukweli wa moyo wangu lakin yeye alinifanya mdori wa kuchezea. Kila nikimwita pemben na kumpiga sound alikuwa anasema tuongee usku kwenye sim . Sikujua kumbe ananiweka roudspika akiwa bwenini na wananisikiliza wenzake wote ninavyojikanyaga kidume. Nilikuja kushtuka mda wa kula tukiwadyning nikakuta wananicheka na kuniangalia mm aisee sku hyo sikula chakula kila napopita mabint wananicheka ni bint mmoja ndiye alikuja kuniambia kuwa kwann wananicheka. Iliniuma sana nilijuta kumtongoza yule dada. Ilikuwa mwezi jana tareh 20 nilikutana na yule dada tukiwa kwenye gari mm nilikuwa naenda Arusha nilimkuta ana mtoto tayar alinichangamkia sana nami nikamchangamkia akaniomba namba ya sim nam nikampa. Akaanza kuniulizia kuwa nimeshaoa? Mm nikakataa tangu sku hiyo anataka tuishi pamoja. Alinikataa kipindi bado mbichi sasa hivi kazalishwa ananitaka ananifanya mm UNICEF. Sasa ameumia lazma nimtoe machoz na nimuabishe. Jana nmeshatuma posa kwao nataka nmjaze mimba na mm na nimfukuze na kumnyanyasa kama mbwa ili ajutie kunikurupukia wakat alinidhalilisha..
Safi ama kweli wewe sii UNICEF
 
Wewe umewakosea wangapi hapa duniani!? ambao waliamua kulipiza kisasi? Achana na mambo ya kijinga mambo ya roho mbaya kama huna mapenzi na huyo dada basi usimuharibie maisha yake.
 
labda amejutia makosa yake.! Na ameona wewe ndio mwanaume unaefaa katika maisha yake ya ndoa. kuzaa mtoto 1 sio kukongoroka wapo wanawake walio zaa watoto wawili lakin wapo bomba matunzo tu. unachotakiwa ni kumpima kama anakupenda au wewe unampenda. mengineyo ni wewe sasa utajua uko.....! acha mambo ya kienyeji bana!!!!!
 
Ni dada ambaye tulikuwa tunasoma kidato kimoja shule moja mkoan Mbeya. Nilimpenda sana huyu dada ikabidi nmwelezee ukweli wa moyo wangu lakin yeye alinifanya mdori wa kuchezea. Kila nikimwita pemben na kumpiga sound alikuwa anasema tuongee usku kwenye sim . Sikujua kumbe ananiweka roudspika akiwa bwenini na wananisikiliza wenzake wote ninavyojikanyaga kidume. Nilikuja kushtuka mda wa kula tukiwadyning nikakuta wananicheka na kuniangalia mm aisee sku hyo sikula chakula kila napopita mabint wananicheka ni bint mmoja ndiye alikuja kuniambia kuwa kwann wananicheka. Iliniuma sana nilijuta kumtongoza yule dada. Ilikuwa mwezi jana tareh 20 nilikutana na yule dada tukiwa kwenye gari mm nilikuwa naenda Arusha nilimkuta ana mtoto tayar alinichangamkia sana nami nikamchangamkia akaniomba namba ya sim nam nikampa. Akaanza kuniulizia kuwa nimeshaoa? Mm nikakataa tangu sku hiyo anataka tuishi pamoja. Alinikataa kipindi bado mbichi sasa hivi kazalishwa ananitaka ananifanya mm UNICEF. Sasa ameumia lazma nimtoe machoz na nimuabishe. Jana nmeshatuma posa kwao nataka nmjaze mimba na mm na nimfukuze na kumnyanyasa kama mbwa ili ajutie kunikurupukia wakat alinidhalilisha..

Wewe mbulula ulipe nini?
 
labda amejutia makosa yake.! Na ameona wewe ndio mwanaume unaefaa katika maisha yake ya ndoa. kuzaa mtoto 1 sio kukongoroka wapo wanawake walio zaa watoto wawili lakin wapo bomba matunzo tu. unachotakiwa ni kumpima kama anakupenda au wewe unampenda. mengineyo ni wewe sasa utajua uko.....! acha mambo ya kienyeji bana!!!!!

kwanza kabla sijakujibu nataka nijue jinsia yako,umri na unashi kwa wazaz au kwashemeji yako au kwako? Naweza kukujibu kumbe bado unafugwa na shemeji hapo ntakuwa napoteza mda
cc BAK , KUNtwe
 
Last edited by a moderator:
Brother kua na subiira insu kama hizo huwa ni changamoto za kawaida ukiwaelewa vizuri watoto wakike hawawezi kukuvunja kichwa kwa insu kama hiyo mungu mwenyewe amesema nimewaumba binadam kua viumbe dhaifu ila wanawake kawaumba kua dhaifu zaidi mara nyingi huwa wanafanya mambo bila kufikilia mbele usimfanyie ivo binadam mwenzio fikiria angekua Dada yako anataka kufanyiwa hivo ungejisikiaje?
 
wE kama ulimind mzigo kipindi ile na hukuwahi chapa, huu ndio wakati mujarab. Msogeze karibu nawe tandika sana vyake vya kwenye pichu,tandika sana kila ukihitaji,ila epuka mimba!Hata hilo wazo la kumtia mimba na kusepa sio jema hata kidogo,ACHANA NA NALO, we piga mbunye tu!
 
mkuu spendi matusi na sio kwamba siwez kutukana na hujaombwa ukoment hicho ni kihereher chako na ndicho kilimponza mama yako mpaka sasa kumbuka. Ng'ombe ww

Hahahahaaa....
 
Pole sana brotha,achana nae..wahenga wa kidhungu waliseeema...IF U WANT TO REVENGE....PREPARE TWO GRAVES!
 
Brother kua na subiira insu kama hizo huwa ni changamoto za kawaida ukiwaelewa vizuri watoto wakike hawawezi kukuvunja kichwa kwa insu kama hiyo mungu mwenyewe amesema nimewaumba binadam kua viumbe dhaifu ila wanawake kawaumba kua dhaifu zaidi mara nyingi huwa wanafanya mambo bila kufikilia mbele usimfanyie ivo binadam mwenzio fikiria angekua Dada yako anataka kufanyiwa hivo ungejisikiaje?

dah! Umeongea point nzur sana bwana Mlati ntalifanyia kazi nashukur kwa busara yako
 
Last edited by a moderator:
We mjinga sana, kosa alilokufanyia linalingana na unalotaka kulifanya, sasa vipi kuhusu mtoto atakayezaliwa yeye ana kosa gani..
 
wakati mnafanya hayo wote mlikuwa wadogo...sasa usilipize huo ujinga kwa jambo ambalo lilipita....
 
Hapo mkuu utakuwa umemuuzia na mwanao ambae hana hatia, tafuta Plan B.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
We mjinga sana, kosa alilokufanyia linalingana na unalotaka kulifanya, sasa vipi kuhusu mtoto atakayezaliwa yeye ana kosa gani..

huo ndio uamuzi wangu mm sio ----- kama ww ngumbaru ww
 
we kuda kweli na utakuwa mkosamali kweli eti unakiri kuwa utasaliti damu yako, harafu unaona sifa

ww mbwa kaa kimya sisaliti damu nasaliti mke. Kamuulize mzee wako alivyofanya kipind ww upo tumbon inamaana na yeye alikuwa kuda?
 
Back
Top Bottom