englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Huyu mama anavimba tu wakati mmewe kakondeana..
wanawake wengi wakishaolewa na fuba ikawepo...basi tegemea miili yao kufutuka
Hahaaa Mbona mie sijafutuka na fupa lipo!!!!!!
Huyu mama anavimba tu wakati mmewe kakondeana..
Heaven on earth, inaelekea bado hujaolewa, kama fuba lipo na ukapata mume wako sio mwanaume, utajazia tuHahaaa Mbona mie sijafutuka na fupa lipo!!!!!!
wenye fuba hawasemi!
Heaven on earth, inaelekea bado hujaolewa, kama fuba lipo na ukapata mume wako sio mwanaume, utajazia tu
Kama hawasemi huwa wanafanyaje!!!!!!!!
Wanaishi kwenye Mahandaki kama picha inavyoonyesha hapo!
Nieleweshe vizuri...umeniacha njia panda
Acha kuwa kilaza mpenzi, angalia picha huo mlango ni wa kuingia kwenye handaki. hilo paa ni zuga tuu!
Hahaaa Mbona mie sijafutuka na fupa lipo!!!!!!