Daah sasa mi wa 2006 sijui nisemeje...
Ngapu na wewe hutakosa ya kwako kwa style ya kwako.
Daah sasa mi wa 2006 sijui nisemeje...
duu nyani wewe ni mkongwe.kama sikosei orodha ya marafiki itakuwa kubwa lakin haitazid ile ya maadui ambao unazinguana nao kila mara.nasoma sana michango yako na cku zote wao wakienda kulia wewe unaenda kushoto.saaf sana kaka.Daah sasa mi wa 2006 sijui nisemeje...
yeye kajifunza masaburi na uvinza, wewe ulipomaliza mwaka mmoja ulijifunza nini?
Nyamaza wewe, ebo! Mbona unapenda kujipendekeza pendekeza....just mind yours.
yeye kajifunza masaburi na uvinza, wewe ulipomaliza mwaka mmoja ulijifunza nini?
mimi nafurahia tu maendeleo ya chama changu..tumethubutu, tumeweza, tunazidi kusonga mbele.