TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,756
- 21,220
Tembea ufunzwe na dunia, ni sehemu ya msemo hama methali maarufu miongoni mwetu, mafundi genereta kwa sasa wanasema kufa kufaana 😐!.
Nikiwa kwenye pilikapilika zangu za kuutafuta mkate wa siku, mara mgambo wamepita wakiwa kwenye pickup tatu wakitokea maeneo ya mnara wa mwenge ni hapo jijini Arusha.
Sikujua walipokuwa wanaelekea ila kutokana na usafi unaondelea nchini wa kuondoa wafanyabishara ndogondogo a.k.a machinga nilitambua kinachofuatia
Niliibukia maeneo ya Kaloleni jirani na jengo la nssf mbele yake kulikuwa na kinamama waliokuwa wanauza t-shirt.
Maongezi yao yalikuwa na maneno haya, "... uchaguzi ukifanyika na tukiwekewa picha ya Magufuli tutaipigia kura" niligeuka na kuwatizama huku nikiwaza mambo kadha wa kadha na kujisemea moyoni, 'mmh kuna kazi'.
Maoni yangu kwa washika dau wote, pamoja na kuwepo matatizo kadhaa kama mgao wa umeme, maji nk, kuna haja ya kuwa makini na upande wa pili wa shilingi