Nilichomfanyia dada wa masaji hatosahau

Nakumbuka kuna siku, muda kidogo umepita. Nilienda kwenye hizi saloon wanazoziita berber shop kutengeneza ndevu na kunyoa. Basi baada ya kunyolewa nikaingizwa kwenye kijichumba nikamkuta mdada, binti kabisa mdogo mkali. Akaja kunifanyia scrub.
Kwa umri wangu na yeye niilona kabisa hii dunia ina majaribu makubwa sana. Akanifanyia scrub huku ananishika masikio, nyuma huku shingoni ili mradi tu aamshe hisia zangu. Alipomaliza nikamlipa kisha nikampa simu yangu nikamwambia aweke namba yake, akaweka. Nikaondoka.

Ikapita kama miezi mi4 hivi simkumbuki. Sasa kuna siku nilikuwa nimekaa peke'ngu nagonga kinywaji. Katika kucheck simu nikaiona ile namba yake. Nikamcheck, akapokea akawa hanikumbuki. Ila nikamwambia alinifanyia scrub na yeye nso alinipa ile namba. Nikamwambia lama yupo free aje. Akaniambia anakuja. Dk 20 hazikupita akaingia na bodaboda, nikalipa jamaa akasepa.

Kwa jinsi alivyokuja kavaa, akanikata wenge. Tukakaa tunakunywa. Muda unaenda alitegemea nikagonge kumbe mimi nishaghairi. Akanywa kama bia 4 hivi. Akaniuliza kwa kiingereza chake kibovu. How about to rest. Nikamwambia leo hapana. Sasa itakuwaje uoni kama umenipotezea muda? Akawa analalamika. Muda gani tena mama na tumepiga story na pombe tumekunywa? Nikamjibu.

Nikampa 15k nikalipa na boda akasepa. Alipoondoka acha anivurumishie matusi. Sikumjibu.

Wakati mwingine kuushinda moyo nako ni ushujaa.
 
Umeandika kwa uchungu
 
"Hivi sivyo tulivyotegemea"
"Umeondoka wakati tunakutegemea"
 
Mkuu, uungwana ni kitendo, tafadhali nipatie mawasiliano yake hapa haraka iwezekanavyo, mgongo una mauza uza huu unahitajika kuchuliwa
 
Daaaaah,umeandika kwa hisia sana
 
ilikuwa wapi mkuu. hata huyu wa stori yangu alikuwa anaongea kingereza cha kuzugia
 
Ukatili ulomfanyia huyo dada hata shetani kashindwa kukulaani..
 
Sijawahi kumwamini mshabiki yeyote wa simba labda awe amekufa
bara zima linatuheshimu,leo hii mji wa Johans upo tulivu sana. Lakini kikundi kidogo cha Yanga ndio kinatupuuza. Mtakapokosa vyote halafu mkashiriki CAFCL ndio mtatupa heshima
 
Tangu Lin umeaanza kususa kama yanga
 

I can do exactly what you did, ni muhimu kufanya hayo mambo kwa ridhaa, ila wewe ni mwongo, why?

1. Ulikuwa na lengo gani akufanyie room?
2. Kama lengo lako ni massage tu, kwa nini usifanyie mahali sahihi?

Wewe ulitaka ngono na ukiifanya! Usituibie!
 
Unastahili kuwajibishwa.

Huo ni unyanyasaji wa viungo vya mwili.

Ila kama kweli umefanya hivyo kweli huo ni ushajaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…