Nilichokishuhudia leo...!

Kwa vile amehama ila ningekupa njia na kaelimu. Kama uko interested ni PM mkuu Eiyer
 
Last edited by a moderator:

Nilipo bold ndipo pananipa utata!
 
haya mambo kweli hadi uyashuhudie. ila baba paroko umenisikitisha sana.
 
Hata huyu jamaa yangu hakudai kodi
Unadhani ujasiri wa kudai kodi utautoa wapi?


Halafu unadhani ni Bugando tu?
Hii makitu ya kuuza maji ya maiti niliwahi kukutana nayo mahili kwingi sana na mikoa tofauti tofauti!

Hayo maji yanatumika kufanyia nini?
Kweli tembea uone!
 
Nilipo bold ndipo pananipa utata!
Kuhusu ushirikina sijui lolote coz siamini ...
Eiyer mimi sio expert wa dini...lakini nitaongea kutokana na upeo wangu nilonao ni kwamba hata dini ya uislam imesema katika Quran takatifu kwamba kuna viumbe vinavyoitwa majini!Na hao majini wanauwezo wakufanya matendo ambayo wanaadamu wa kawaida hawawezi kufanya.So ninachoshauri mimi hao watu waombewe kutokana na imani yao walokuwa nayo!
Ngoja nimuite maalim MziziMkavu aje atufafanulie!
 
Last edited by a moderator:
Malimwengu

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 

Nimekuelewa bibie!!!!!!!!!!
 
Hujajibu swali..........kama liliweza kuwaka rom no where lolote pia lingeweza kutokea

vitu kuungua au kutokuungua

Sasa si nimeshasema limeungua?
Halafu wewe ngoja tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama ile Story ya Bwana Humuli wa Magomeni alituhadithia ndugu MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…