Duuh,..Mwenyezimungu atuepushie mbali hayo mambo,...hizo ishu zipo,wengi zimewakuta. Watu wanasamehe hadi fenicha ili mradi asirudi tu kwenye nyumba.
Mkuu hayo marekebisho mnayokusudia kuyafanya ningeshauri mtoe hela tu!
Yap! Munaruhika hata kisheria!!!
Kupeleka-peleka pua zenu kule, ni kuzidi kuchokoza mishe za watu!!!!
...
Nahis hisi hiyo nyumba inamigogoro either ya kifamilia or biashara (May b ushindani wa kupangisha nyumba) or majirani!!!!
...
Walipeni hela musepe!
Kwani wotw wanaotokewa na hii kitu wanakuwa wamerithi?
Yaani siku hizi kuna umuhimu sana wa kuwa na wakili na mganga wakati unanunua nyuma ........lol!!!!!!!!!!
Bhoke Mwita siku ikifika ndio utajua umuhimu wa hawa watu!hahaaaa!!! halafu kazi zao ziwe zipi?
Hii nadharia ya kutoamini kwamba kuna kifo kwa sababu hatujakufa inamrahisishia kazi sana Israel mtoa roho,kinga ni muhimu mkuu!Kabisa mkuu!
Hii mambo ya kuhamia halafu unakutana na stiki kama mtoto hayafai!
Maana kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa alipohamia kwenye nyumba moja hivi alikuwa anatandikwa fimbo sana hasa zile siku alizokuwa anamgegeda mkewe
Sikumwamini ila leo nimejua alichokuwa ananiambia....lol!
CC Mtambuzi !!!!
Yaani hivi vituko ni vingi sana
Unaweza kuhamia kisha ukaambiwa wanaume humo huliwa kibog sijui inakuwaje aisee!!!!!!
Mwishowe unaweza kuambiwa usimgegede mkeo asubuhi!
Bhoke Mwita siku ikifika ndio utajua umuhimu wa hawa watu!