Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,390
- 10,465
Kuna kipindi miezi kadhaa iliyopita nilipata kuteguka kwenye Enka nilipokua huko Milimani lushoto sasa niliporudi mjini hapa nilikaa kama mwezi hivi huku nikitibia mguu!
Sasa usiku nimelala akatokea mtu kwenye NDOTO simjui akaushika mguu wangu huo huo nilioteguka akachukua mafuta kwenye chupa akamimina kwenye Enka akaanza kama kuuchua hivi kesho asubuhi naamka Nimepona kabisa mpaka leo!.
Hiyo Part ya mwisho ndo imemiss kwa jamaa. Je baada ya kukandwa alipona?/ Alivyoamka asubuhi alijiskiaje