Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,239
- 4,738
...Hueleweki ! Mmemulewa ?....Hi ni kwa wale wanao amini busara nyeusi zipo. Soma Kama stori ila usipuuze.
Kama una tabia ya kula vinavyosalia kuamkia siku nyingine iwe kwako au kokote kule "ACHA".
Hasa ukiwa huna nguvu ya ziada kaushaga tu.
Nilichokiona usiku kwa siku tofauti ndio kinanisukuma kukuambia haya.
TUKIO NILOSHUHUDIA
Mida ya Saa tisa kasoro kiu iliniamsha nikashindwa kujizuia nitoke niende kunywa maji ndio nawakuta watu wa wanne jikoni.
Mzee Mmoja ( Babu la kwenda ) na visichana vitatu wanakula na kutapikia kwenye Hotpot la chakula ila asubuhi maneda check sikuona kasoro.
Ule msosi nilikuja mpa dogo Mmoja jirani hapa akaukataa katakata na kusema Bro huoni umechezewa huo.
Nimewaza s lolana kuwa tumakula uchafu kiasi gani.
Nimewaza Sana dogo anaona me sioni,Nilichokiona usiku ilikuwa ni bahati au ?
Shida zote hizo za nini!!?? Inatosha kumuamini Mungu aliyekuleta Duniani na kukupa pumzi yake,na yeye ndiyo anajua mwisho wako ni lini hapa Duniani!!Kabla ya kulala izunguke nyumba yako uifunike kwa damu ya Yesu (kwa imani). Au nenda makanisani ukachukue chupa ya maji ya baraka. Kisha nyunyiza nje na ndani ya nyumba.
Maisha ya hapa duniani ni mapambano mithili ya askari aliye vitani. Zivae silaha zote ili uweze kuzishinda hila na mashambulizi ya upande wa pili.Shida zote hizo za nini!!?? Inatosha kumuamini Mungu aliyekuleta Duniani na kukupa pumzi yake,na yeye ndiyo anajua mwisho wako ni lini hapa Duniani!!
Alirudi kulalaBaada ya kuwakuta hao watu jikoni ukafanyaje
Hao wasioonekana hawawezi kufungua mfuniko wa chombo cha kuhifadhia chakula?Chakula chochote au kinywaji kilichoachwa wazi pasi na kufunikwa Basi tambua kushea pia ni kitu possible.
Usiku umeviona vibabu vinakula na kutapikia chakula halafu asubuhi unampa mtoto wa jirani anakwambia huoni kama chakula kimechezewa unashangaa dogo ameona halafu wewe huoni[emoji3]Hi ni kwa wale wanao amini busara nyeusi zipo. Soma Kama stori ila usipuuze.
Kama una tabia ya kula vinavyosalia kuamkia siku nyingine iwe kwako au kokote kule "ACHA".
Hasa ukiwa huna nguvu ya ziada kaushaga tu.
Nilichokiona usiku kwa siku tofauti ndio kinanisukuma kukuambia haya.
TUKIO NILOSHUHUDIA
Mida ya Saa tisa kasoro kiu iliniamsha nikashindwa kujizuia nitoke niende kunywa maji ndio nawakuta watu wa wanne jikoni.
Mzee Mmoja ( Babu la kwenda ) na visichana vitatu wanakula na kutapikia kwenye Hotpot la chakula ila asubuhi maneda check sikuona kasoro.
Ule msosi nilikuja mpa dogo Mmoja jirani hapa akaukataa katakata na kusema Bro huoni umechezewa huo.
Nimewaza s lolana kuwa tumakula uchafu kiasi gani.
Nimewaza Sana dogo anaona me sioni,Nilichokiona usiku ilikuwa ni bahati au ?
Siku ukichoka tu tunakujiaKabla ya kulala izunguke nyumba yako uifunike kwa damu ya Yesu (kwa imani). Au nenda makanisani ukachukue chupa ya maji ya baraka. Kisha nyunyiza nje na ndani ya nyumba.
Basi anajuana nao huyoAlirudi kulala