DR MANJALA
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 306
- 232
Buluba sec my shule nilisoma pale
Siku hizi shida ya maji Shinyanga haipo3. Nimeona wamama wakiendesha baikeli kwa ustadi.
....wakiwa wamebeba madumu ya maji au?
Heheee..hilo lilikua demu langu kipindi liko shule ya msingi..Kuna dada mmoja maeneo ya stand kule manyoni anamsambwanda wa kufa mtu teh teh
Mkuu sikuhizi wamepungua..kulikua na kamata kamata nyingi sana.Pale njia panda Bakurutu usiku panakuwa na wadada poa wamejipanga wanajiuza hatari hatari
Siku hizi wanakaa kwenye guest house zile za karibu pale, kuna guest moja pale ipo ni nomaMkuu sikuhizi wamepungua..kulikua na kamata kamata nyingi sana.
Mambo hayo hata huku Mwanza yapo!Wakuu habari zenu,
Nimepita hapa kuwamegea kidogo mambo machache ya kustajabisha niliyoyaona wiki tatu zimepita nikiwa nimetembelea Manispaa ya Shinyanga.
Mambo yenyewe ni:-
1.Mji kuna vumbi na vimbunga vidogovidogo vyenye kasi hupita kila mara.
2.Watoto wa shule ya msingi na sekondari wanaonekana kupita wakirudi shule jioni huku wakiendesha baiskeli kwa umahiri.
3. Nimeona wamama wakiendesha baikeli kwa ustadi.
4.Nimemuona mmama wa karibu miaka 50 na kuendelea akiendesha bodaboda.
5.Baiskeli ni nyingi kuliko bodaboda na zinaitwa daladala kupanda kwa umbali ambao pikpiki itakupeleka kwa buku yenyewe unalipa tsh 300 tu.
6. Waendesha daladala hawakushushi mahala hata kama ni mlima atakukokota tu maana upo kwenye daladala.
7. Nyama ya Mbuzi choma portion ya elfu tano ni kubwa sawa na ya elf 15 huku Dar.
8.Kuna kiwanja kizuri cha kuburudika na kupata chakula jioni,ghorofa la NSSF panaitwa level 4.
9. Ukihitaji huduma ya mambo yetu yale unamwambia mhudumu wa loji/hotel anapiga simu mtu anakuja fasta, ila asubuhi unatakiwa umtoe si chini ya 30.
Bado yupo, wiki iliyopita alinikatia ticket nikiwa naenda kahama.Kuna dada mmoja maeneo ya stand kule manyoni anamsambwanda wa kufa mtu teh teh
Sawa sawa mkuu, na kuna mwingine ni mama ntilie aaah noma sanaBado yupo, wiki iliyopita alinikatia ticket nikiwa naenda kahama.
Miaka ipi mkuu,nimepita hapo pia miaka ya 2001 hadi 2005 chini ya mzee baba Yegella.Buluba sec my shule nilisoma pale
Pamoja sana kiongozi, those days buluba was buluba kweli. Live long buluba,najivunia sana!Buluba Sec pale nilipiga msuli O-level nikaondoka na A ya Physics. Nakupenda shule yangu.
Nahisi km nshamfaham huyo dada.Bado yupo, wiki iliyopita alinikatia ticket nikiwa naenda kahama.
Bhebhe shiii! Panaitwaga "Sing'aanga"!
Lugha mpya. Inataka kufanana na lugha fulani. Hata jina linalofanana na lako huku kijijini kwetu tunalitamka "Ng'walu"!Sing’aanga ndo lugha gani mkuu?