Hiyo NHIF ni wasumbufu,na ukienda huko ofisini kwao wako slow sana wamebweteka sana na bado Mr presida atawatumbua tuHilo la 3 ndio limenisikitisha zaidi...
Inakuwaje kama mgonjwa yuko ICU kuna vipimo vinahitajika?
Siku 7???!!!!!
NHIF jirekebisheni...msitake kuendeleza imani kuwa hakuna kitu cha umma chenye ufanishi...mnachukua michango ya watu mtoe huduma kwa wakati...suala la afya si la kusubiri,,,
Mbona zamani hamkuwa hivyo; ...yani mnataka tuseme afadhali ya jana?! Mnataka watu wajigharimie afu mkatae kuwa refund?!
Vema mfuko ukaunda refund scheme kwa wale wanaochangia mda mrefu bila kutumia hudumaHiyo ni kama saccos tu zingine haimsaidii masikini zaidi ya kumnyang'anya hata kidogo alichonacho. unakuta dawa fulani, vipimo fulan hawavilipii ...
3. Hujaelewa mkuu. Unapewa kibali ambacho kinakuwa valid for 7 days. Ulisikia vibaya mkuu. Ulienda ofisi za wapi??Amani iwe nanyi,
Majuzi nikitembelea ofisi za bima ya Afya ya taifa, mambo niliyoyaona yalinifedhehesha mno:
1. Kwenye front desk kulikuwa na Afisa mmoja aliyekuwa akiwapokea wateja na kuwahudumia na ukumbi ulikuwa na watu wengi kiasi kwamba wale walioona kuwa wanachelewa kupata huduma walikuwa wakimkaripia.
2. Wateja waliokuwa wakiwasilisha form zao za kujiunga wanaambiwa wake kuchukua kadi zao baada ya mwezi mmoja, hii ilinistaajabisha ikafanya nijiulize, kwanini kadi ya utambulisho tu ichukue mwezi mmoja wakati taasis nyingine huweza kutoa ID siku hiyohiyo? MF. Backleys bank, kitambulisho cha mpiga kula nk.
3. Wateja waliokuja kuomba vibali vya matibabu kupewa kibali baada ya siku saba, hii ilinistaajabisha zaidi, kwanini vibali visitolewe siku hiyohiyo?
Nashauri mamlaka husika iige mfano wa bima nyingine za Afya mf, Jubilee amabo ukisha sajiliwa unapewa barua maalum ya utambulisho pending kusubiri ID.
Nawasilisha
HAWEZI HATA SIKU MOJA.watotot wa vigogo tuu hukoHiyo NHIF ni wasumbufu,na ukienda huko ofisini kwao wako slow sana wamebweteka sana na bado Mr presida atawatumbua tu
Amani iwe nanyi,
Majuzi nikitembelea ofisi za bima ya Afya ya taifa, mambo niliyoyaona yalinifedhehesha mno:
1. Kwenye front desk kulikuwa na Afisa mmoja aliyekuwa akiwapokea wateja na kuwahudumia na ukumbi ulikuwa na watu wengi kiasi kwamba wale walioona kuwa wanachelewa kupata huduma walikuwa wakimkaripia.
2. Wateja waliokuwa wakiwasilisha form zao za kujiunga wanaambiwa wake kuchukua kadi zao baada ya mwezi mmoja, hii ilinistaajabisha ikafanya nijiulize, kwanini kadi ya utambulisho tu ichukue mwezi mmoja wakati taasis nyingine huweza kutoa ID siku hiyohiyo? MF. Backleys bank, kitambulisho cha mpiga kula nk.
3. Wateja waliokuja kuomba vibali vya matibabu kupewa kibali baada ya siku saba, hii ilinistaajabisha zaidi, kwanini vibali visitolewe siku hiyohiyo?
Nashauri mamlaka husika iige mfano wa bima nyingine za Afya mf, Jubilee amabo ukisha sajiliwa unapewa barua maalum ya utambulisho pending kusubiri ID.
Nawasilisha
Tatizo wamelewa pesa hao watu....hata mikoani wanaringa sana kutoa huduma zao na wanakua na lugha chafu kwa wateja......especially kuna manager wa moro anamajibu ya hovyo kwa kigezo kuwa anatembea na moja wa wakurugenzi huko juu.Amani iwe nanyi,
Majuzi nikitembelea ofisi za bima ya Afya ya taifa, mambo niliyoyaona yalinifedhehesha mno:
1. Kwenye front desk kulikuwa na Afisa mmoja aliyekuwa akiwapokea wateja na kuwahudumia na ukumbi ulikuwa na watu wengi kiasi kwamba wale walioona kuwa wanachelewa kupata huduma walikuwa wakimkaripia.
2. Wateja waliokuwa wakiwasilisha form zao za kujiunga wanaambiwa wake kuchukua kadi zao baada ya mwezi mmoja, hii ilinistaajabisha ikafanya nijiulize, kwanini kadi ya utambulisho tu ichukue mwezi mmoja wakati taasis nyingine huweza kutoa ID siku hiyohiyo? MF. Backleys bank, kitambulisho cha mpiga kula nk.
3. Wateja waliokuja kuomba vibali vya matibabu kupewa kibali baada ya siku saba, hii ilinistaajabisha zaidi, kwanini vibali visitolewe siku hiyohiyo?
Nashauri mamlaka husika iige mfano wa bima nyingine za Afya mf, Jubilee amabo ukisha sajiliwa unapewa barua maalum ya utambulisho pending kusubiri ID.
Nawasilisha
Tatizo wamelewa pesa hao watu....hata mikoani wanaringa sana kutoa huduma zao na wanakua na lugha chafu kwa wateja......especially kuna manager wa moro anamajibu ya hovyo kwa kigezo kuwa anatembea na moja wa wakurugenzi huko juu.
Sasa permit ya matibabu watoe baada ya siku 7 si mgonjwa anaweza kufa njiani hapo.
Sure itakuwa alisikia tofauti..kibali NHIF wanatoa right away....ukiwa na passport size picha ya mgonjwa na uthibitisho tu bas.3. Hujaelewa mkuu. Unapewa kibali ambacho kinakuwa valid for 7 days. Ulisikia vibaya mkuu. Ulienda ofisi za wapi??
Amani iwe nanyi,
Majuzi nikitembelea ofisi za bima ya Afya ya taifa, mambo niliyoyaona yalinifedhehesha mno:
1. Kwenye front desk kulikuwa na Afisa mmoja aliyekuwa akiwapokea wateja na kuwahudumia na ukumbi ulikuwa na watu wengi kiasi kwamba wale walioona kuwa wanachelewa kupata huduma walikuwa wakimkaripia.
2. Wateja waliokuwa wakiwasilisha form zao za kujiunga wanaambiwa wake kuchukua kadi zao baada ya mwezi mmoja, hii ilinistaajabisha ikafanya nijiulize, kwanini kadi ya utambulisho tu ichukue mwezi mmoja wakati taasis nyingine huweza kutoa ID siku hiyohiyo? MF. Backleys bank, kitambulisho cha mpiga kula nk.
3. Wateja waliokuja kuomba vibali vya matibabu kupewa kibali baada ya siku saba, hii ilinistaajabisha zaidi, kwanini vibali visitolewe siku hiyohiyo?
Nashauri mamlaka husika iige mfano wa bima nyingine za Afya mf, Jubilee amabo ukisha sajiliwa unapewa barua maalum ya utambulisho pending kusubiri ID.
Nawasilisha
kwanini kadi ya utambulisho tu ichukue mwezi mmoja wakati taasis nyingine huweza kutoa ID siku hiyohiyo? MF. Backleys bank, kitambulisho cha mpiga kula nk.
Hakuna kitu hapo, ni uzushi mtupu. Kupata kadi ya mwanangu ilichukua miezi miwili, na hapo baada ya kupiga sana kelele.Amani iwe nanyi,