MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Magu amebeba gunia la misumariLeo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani
Kumbe ndio hivyo. Mi nilifikiri kuimilika [scan] ni kuzuia usiitumie tena hio tiketi.Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani
Mkuu hongera sana na Tanzania itajengwa na watu kama wewe. Hiyo solution uliyotoa ni nzuri sana na wao nadhani hawataki kuitumia kwa sababu wanajua hawataambulia kitu. Jamani madiwani na wahusika wote pitiane hapa!!!!Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani
Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani
sio inatushinda aliyenunua hizo mashine anajua kwann amenunua za namna hiyo!Point of sale technology tu inatushinda.
Ndiyo imetushinda, hatuna oversight za kuhakikisha wachache hawafanyi wanavyotaka.sio inatushinda aliyenunua hizo mashine anajua kwann amenunua ya namna hiyo!
Pale ni zaid ya jibu kuna kila aina ya madudu pale....Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani
Kunamashine za kununua kadi ukifika pale unaichanja kwenye mashine geti linafunguka hiyo biashara imekwisha haina haja ya kuweka mtu wa pili. Inaokoa fedha za kuajiri mwizi na inaongeza mapatoLeo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani
Kunamashine za kununua kadi ukifika pale unaichanja kwenye mashine geti linafunguka hiyo biashara imekwisha haina haja ya kuweka mtu wa pili. Inaokoa fedha za kuajiri mwizi na inaongeza mapato