Nilichokiona Chuo cha Usafirishaji(NIT)

Nilichokiona Chuo cha Usafirishaji(NIT)

Magufuli alikiponda Sana hiko chuo na hiv atakifungia subr uone
 
Hii post bwana inachekesha sana ........ yaan mtoa post unaweza kuniambia kwenda mara moja tu umsha- conclude kila kitu yaani watu mnachekesha sana yaan
 
Chuo kizuri mno, nimependa mazingira yake yani hakina complication kinafaa kwa mwanafunzi na pia kuna baadhi ya kozi zinatolewa pale tu Tanzania nzima.....

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
hahaaa NIT ni chuoo ??? LA hashaa ile ni TAASISI chuo njoo UDSM
 
Back
Top Bottom