Nilichokiona Central Polisi

Nilichokiona Central Polisi

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3,327
Reaction score
5,594
Nimelazika kufika Central Polisi hapa Dar Es salaam, nimekuta Majembe mwenyewe anagawa samani kwenye ofisi za pale kituoni. Amegawa meza, Kabati na viti. Polisi nao siku hizi kila mwenye pesa anapigiwa Saluti hawakusita kufanya kitu hicho kila walipokuwa wakimwona Bw. huyu Nikajiuliza maswali kidogo, :- mbona wanaohitaji hivi vitu ni wanafunzi mashuleni na sio pale Polisi? Hata kama ni polisi kwanini sio kwenye vituo vidogo vidogo huko nje ya jiji? Mi nikajua tu ni hongo kwa jeshi hili ili yeye aweze kukingiwa kifua kwa ujambazi anaoufanya ambao umekuwa kero hapa mjini.
 
kinachukuuma nini sasa???? au kwa kuwa umekosa mgao
shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Daaah...rushanju bana. Umejuaje kama ni tender au ni nini. Hizo ni furniture tuliagiza kwa ajiri ya ofisi Operation Officer mpya wa kanda ya Polisi DSM kamanda Simon Sirro.
Sio kila unaloliona ni magendo...actually polisi tunafungu pia kwa ajili ya mambo kama hayo.
 
Nimelazika kufika Central Polisi hapa Dar Es salaam, nimekuta Majembe mwenyewe anagawa samani kwenye ofisi za pale kituoni. Amegawa meza, Kabati na viti. Polisi nao siku hizi kila mwenye pesa anapigiwa Saluti hawakusita kufanya kitu hicho kila walipokuwa wakimwona Bw. huyu Nikajiuliza maswali kidogo, :- mbona wanaohitaji hivi vitu ni wanafunzi mashuleni na sio pale Polisi? Hata kama ni polisi kwanini sio kwenye vituo vidogo vidogo huko nje ya jiji? Mi nikajua tu ni hongo kwa jeshi hili ili yeye aweze kukingiwa kifua kwa ujambazi anaoufanya ambao umekuwa kero hapa mjini.

Mgao? Msaada? Yaani nchi yetu tumefilisika kiasi cha watu binafsi kutoa msaada kwa polisi direct? Kesho akifanya kosa watathubutu kumkamata?
 
Kwanini unajipa stress kwa vitu usivyo na uhakika navyo? Relax mzee ufanye mambo yako sio kila kitu ni sanaa!
 
Umasikini mbaya sana,yaani polisi mzima unakuja humu kuleta malalamiko ya kukosa mgao wa samani chakavu!rushwa unazochukua kwa raia hazitoshi kununua samani mpya?
 
Mgao? Msaada? Yaani nchi yetu tumefilisika kiasi cha watu binafsi kutoa msaada kwa polisi direct? Kesho akifanya kosa watathubutu kumkamata?
Acheni kushoboka kwa vitu vinavyorushwa bila,kufikiri. Kakuta furniture zinapangwa, anakurupuka kuwa eti ni msaada au rushwa, kamuuliza nani akamjibu hivyo. Wewe ukinunua furniture mwenye duka akija kukufungia kakupamrushwa. WaTZ ndio maana maisha yanatushinda sababu ya kuishi maisha ya kufikirika
 
Mwingine huyu.
 
Mgao? Msaada? Yaani nchi yetu tumefilisika kiasi cha watu binafsi kutoa msaada kwa polisi direct? Kesho akifanya kosa watathubutu kumkamata?

Acha moyo Wa chuki wewe ushaambiwa wamenunua haya shusha pumzi basi
 
Hiyo ni rushwa.

Waliopokea na yeye wote wana makosa.
 
Hiyo ni rushwa.

Waliopokea na yeye wote wana makosa.

Nashauri mlale...najua rushwa hutolewa nakupokelewa na mtu yeyote na polisi akiwemo. Lakini katika hili umepotoka. Nimekuambia ni furniture zilizogarimu not lesa than 10 mil. Nikwaajiri ya ofisi yakiongozi. Kama umemuona mtu yyte kaileta basi nimafundi ama msafishaji.
 
Ndo maana wakina Kibonde wanawatukana hao polisi na wanawateka na mwisho wanawatoa kwa simu za kutoka juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom