HahahahahahaMkuu au ulikua unaota?
Nimejikuta nashauku sana ya kujua ni nini kile nilichokiona lkn dah! inaonekana kama kunaugumu coz ya teknolojia yetu...Watanzania wengi wako kama hao ndugu zako
yaani kitu hawakijui lakini wanakipasisha kuwa ni kitu fulani baasi
hawataki hata kujisumbua tena kujiuliza
ndo maana Africa iko hivi ya mwisho duniani
Haiwezi kuwa Satelite labda ni UFO na UFO maana yake ni 'unidentified flying objects'
labda wadau wengine watakusaidia Kiranga Nyani Ngabu
Nimejikuta nashauku sana ya kujua ni nini kile nilichokiona lkn dah! inaonekana kama kunaugumu coz ya teknolojia yetu...
kuhusu ukubwa ni ngumu kudetermine coz kilikuwa juu sana hivyo kwa chini yake ndo ilionekana mwanga ule wa kijani.Sasa itakuwa vigumu sisi kutambua maana hatukuona
1. Kilikuwa na ukubwa gani
2. Kilikuwa na mlio/mshindo gani
3.kilitokea mlipokuwa au kilipitia hapo na kilienda vertically upward au horizontally
Umesema vyema huijui basi ngoja niombe kibali kutoka mamlaka za juu nije nielezee ni kitu gani na hiki ndo ulichokiona. Ukipenda hata kesho waweza kionasiifahamu
hao wachawi walikuwa wanaenda kusikiliza siri za munguNiaje wadau?
Hili tukio nililishuhudia kwa macho yangu wala sio stori..
Ilikuwa ni jijini mwanza mwaka 2006 tukiwa kwenye gari tunatoka kwenye harusi usiku kama saa nane hivi ama saa tisa usiku.
Tulitoka harusini salama salimini safari ilikuwa ndefu kidogo lkn tulipokaribia kufika gari tuliokuwa tumepanda iliishiwa mafuta!
Dereva akaipaki gari pembeni mtu mmoja akashuka kukimbilia petroli ilikuwa ni maeneo ya ghana kwa wakazi wa mwanza nadhani mnapapata.
Wakati tukisubiri petroli huku wengine wakiwa wameshuka wakibalizi ghafla tuliona mwanga wa kijani umetanda pote!
Kucheki juu niliona kitu hicho kikitoa mwanga huo huku kikienda juu kwa kasi na mwanga huo ulidumu kwa sekunde kama sita hivi na kile kilichotoa mwanga huo kilipotelea angani!
Kusema kweli mapigo ya moyo yalinienda mbiombio..Watu walisema ni satelite lkn hawakuwa na uhakika.
Kutokana na utoto nliokuwa nao sikuhoji sana lkn sasa nimelifikiria tukio lile nimekosa majibu pia nimejaribu ku google ni satelite gani ilirushwa mwaka huo but no..
Kama ni satelite ni lini Afrika ama tanzania tumeirusha huko angani mwaka 2006...? but nothing!
Wadau kama kuna alieshuhudia tukio lile na anajua ni nini kile kilichotokea anijuze maana kichwa kinanikeleketa kutaka kujua ni nini kile..?
Hata leo nimekuwa nikiwauliza na kuwakumbusha tuliokuwa nao siku ile lkn jibu walitoa ni satelite! Hivi satelite ikiwa inarushwa ndo hutokea vile..?
Na tatizo jengine nililoliona hapa ni kuwa sisi waafrika sio wafuatiliaji wa mambo kiundani.. (But not all).
Wadau ni hivyo tu kama kuna anaejua anijuze and that is all...!
Karibuni