Nilichokifanya baada ya kutendwa

Nina umri wa miaka 28,mahusiano ya mapenzi nimeanza mwaka 2002 wakati huo nikiwa kidato cha kwanza,nakumbuka kufikia mwaka 2014 nilikuwa nimefanya mapenzi na wanawake wastani wa 15,mimi ni mtumishi wa umma,kiwango cha elimu ni shahada,,nakumbuka mwezi wa tisa mwaka 2014 nikiwa na mpenzi wangu ambaye tumeanza uhusiano mwaka 2012,nikatambua kuwa ana uhusiano na mzee mmoja,niliumia sana na sikumuelewa hata kidogo japokuwa aliomba nimsamehe lakini niliamua kuachana nae,mipango yangu ilikuwa ni kumuoa awe mke wangu,,,baada ya tukio hili niliamua kuwa playboy,nimefanya mapenzi na wanawake na idadi haijulikani hadi muda huu na inaweza kuwa zaidi ya wanawake 50,wapo niliorudia siku tofauti na wengine ni mara moja tu,niliamua kuwaumiza sana wanawake kama kulipa kisasi,nilikuwa nawapata mtaani,kazini na kwenye mitandao ya kijamii.Madhara niliyopata hadi sasa ni kukosa amani kwenye maisha yangu,pia nikiwa na mwanamke lazima nizime simu kukwepa kupigiwa simu na wapenzi.Nifanyeje ili niweze kupenda tena nilipanga kufikia mwaka 2015 niwe na mke lakini nashindwa kupenda tena,nikiwa na mwanamke najua ni walewale namtumia na kumuacha ili nimpate mwingine

Umejimaliza mwenyewe
 
Kwanza kabisa kapime afya yako,kama una ngwengwe basi utulie home na kupiga menu ya ukweli huku ukitubu sana.

Kama huna ngwengwe basi katubu uliyoyafanya kwani umebeba laana zaidi ya kilo 50 kutoka kwa hao uliowatenda. Kisha katoe sadaka kwa Mungu mwenyenzi.
 
Sasa Kumbe Mpaka Sasa Hivi Na Ujanja Wako Wote Huo UMESHATEMBEA Na Hao Wanawake 50 Tu Halafu Unakuja Kutupigia Makaelele Humu Wakati Kuna Watu Humu Hadi Hivi Tunavyoandika Post Hii Namaliza KUMKANYAGA Demu Wa 1369. Komaa Kwanza Kisha Tutakupa USHAURI Zaidi. Yaani Umenitibua Kweli Mkuu Yaani Wewe Mpaka Sasa Umeshalala Na Warembo 50 Tu? Hivi Wewe Ni RIJALI Kweli?
duuuh nimecheka sana
 
Nina umri wa miaka 28,mahusiano ya mapenzi nimeanza mwaka 2002 wakati huo nikiwa kidato cha kwanza,nakumbuka kufikia mwaka 2014 nilikuwa nimefanya mapenzi na wanawake wastani wa 15,mimi ni mtumishi wa umma,kiwango cha elimu ni shahada,,nakumbuka mwezi wa tisa mwaka 2014 nikiwa na mpenzi wangu ambaye tumeanza uhusiano mwaka 2012,nikatambua kuwa ana uhusiano na mzee mmoja,niliumia sana na sikumuelewa hata kidogo japokuwa aliomba nimsamehe lakini niliamua kuachana nae,mipango yangu ilikuwa ni kumuoa awe mke wangu,,,baada ya tukio hili niliamua kuwa playboy,nimefanya mapenzi na wanawake na idadi haijulikani hadi muda huu na inaweza kuwa zaidi ya wanawake 50,wapo niliorudia siku tofauti na wengine ni mara moja tu,niliamua kuwaumiza sana wanawake kama kulipa kisasi,nilikuwa nawapata mtaani,kazini na kwenye mitandao ya kijamii.Madhara niliyopata hadi sasa ni kukosa amani kwenye maisha yangu,pia nikiwa na mwanamke lazima nizime simu kukwepa kupigiwa simu na wapenzi.Nifanyeje ili niweze kupenda tena nilipanga kufikia mwaka 2015 niwe na mke lakini nashindwa kupenda tena,nikiwa na mwanamke najua ni walewale namtumia na kumuacha ili nimpate mwingine

50 + 15 =75 nenda tu ukaanze dawa ndugu yangu
 
Back
Top Bottom