Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
atoto njoo uone below average ya baby yako mzee wa mihogo50 kwa mwaka ni kama 1 kwa wiki....kwa mtu asie na gf/wf hio ni kawaida au below average!
Last edited by a moderator:
atoto njoo uone below average ya baby yako mzee wa mihogo50 kwa mwaka ni kama 1 kwa wiki....kwa mtu asie na gf/wf hio ni kawaida au below average!
Lugha ngumu sana hii kyaaa
Mpokee YESU Kristo awe Bwana na mokozi wa maisha yako. Itakusaidia nini, upate ulimwengu wote, au kulala na wanawake wote na mwisho uishie jehanamu ya moto. Kifo kipo, mbingu ipo, jehanamu ipo.
YESU tu ndio jibu, YEYE ajaye kwake hataona kiu ya dhambi, na maisha ya kale yote yanakuwa mapya.
Sasa Kumbe Mpaka Sasa Hivi Na Ujanja Wako Wote Huo UMESHATEMBEA Na Hao Wanawake 50 Tu Halafu Unakuja Kutupigia Makaelele Humu Wakati Kuna Watu Humu Hadi Hivi Tunavyoandika Post Hii Namaliza KUMKANYAGA Demu Wa 1369. Komaa Kwanza Kisha Tutakupa USHAURI Zaidi. Yaani Umenitibua Kweli Mkuu Yaani Wewe Mpaka Sasa Umeshalala Na Warembo 50 Tu? Hivi Wewe Ni RIJALI Kweli?
Ukadhani unawaumiza wanawake kumbe unakiumiza kimbouo chako