Tata ya bana JF-Expert Member Joined Jul 14, 2018 Posts 304 Reaction score 369 Dec 7, 2019 #1 Wakuu nimefanya utafiti nimegundua kupiga miayo kunaambukiza, jaribu hata wewe. Unaweza kuanza wewe kupiga muayo mwenzako naye palepale akapiga,au viceversa.wataalam wa afya tupeni hints kidogo.
Wakuu nimefanya utafiti nimegundua kupiga miayo kunaambukiza, jaribu hata wewe. Unaweza kuanza wewe kupiga muayo mwenzako naye palepale akapiga,au viceversa.wataalam wa afya tupeni hints kidogo.