Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Nikifatilia maoni ya wanazi wa chama cha Chadema wanaona kama Bunge Limechagua Watu ambao ni dhaifu sana na kutaka kukataa kukubaliana na Jambo hilo la Kidemokrasia.
Tabia hii ya kulialia kwa kila jambo inaota mizizi kwa chadema ningependa muwe wakomavu wa Kisiasa Nyasi siku zote hazitakua za Kijani upande wenu.
Kwani kuna biashara gani kwenye Ubunge wa Afrika Mashariki mpaka mnaona wakina Josephine na Pamela hawafai?
Mi naona tuyamalize na Washindi wapongezwe hakuna mtu dhaifu tuwaamini watafanya Kazi nzuri ya kutuwakilisha Chadema/Nchi.