Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,477
Elfu thelathini jogoo? Mkuu hiyo hela hapa MWanza mbona unanunua mbuzi beberu. Jogoo akiwa mkubwa sana 15,000/
Nakula kuku huki supu ya kuku 2000/3000!sitaman hata kula tena aise!mbuzi ndo kbs