Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,186
- 6,123
Ni kweli kwamba wapo wahubiri wanaoliombea Taifa kwa ujumla lakini hapa ninazungumzia kumwombea yule ambaye anaonekana kutofautiana kwa namna moja ama nyingine kwa zaidi ya mara moja.Tena kwa kumtaja wazi.Mkuu unashangaa RC kuwaombea waumini wengine wa kikristu nakuona kama hiyo ni Love?
Unaelezeaje kundi lingine lililosahaulika kwenye hayo maombi ambalo sio la kikristu?
Mwakasege, Gwajima na mzee wa upako nimewashuhudia wakiliombea taifa yani ni sala iliyohusisha watanzania wote wa dini zote na wasio na dini dhidi ya shetani
Hii kwako unaichukuliaje mzee?
Bwashee, kipo kipengele cha kuwaombea wapagani, wasio muamini Mungu nk.Mkuu unashangaa RC kuwaombea waumini wengine wa kikristu nakuona kama hiyo ni Love?
Unaelezeaje kundi lingine lililosahaulika kwenye hayo maombi ambalo sio la kikristu?
Mwakasege, Gwajima na mzee wa upako nimewashuhudia wakiliombea taifa yani ni sala iliyohusisha watanzania wote wa dini zote na wasio na dini dhidi ya shetani
Hii kwako unaichukuliaje mzee?
Wote hao wameombewa leo.Mkuu unashangaa RC kuwaombea waumini wengine wa kikristu nakuona kama hiyo ni Love?
Unaelezeaje kundi lingine lililosahaulika kwenye hayo maombi ambalo sio la kikristu?
Mwakasege, Gwajima na mzee wa upako nimewashuhudia wakiliombea taifa yani ni sala iliyohusisha watanzania wote wa dini zote na wasio na dini dhidi ya shetani
Hii kwako unaichukuliaje mzee?
Katoliki ni mbuyu usiotikiswa na vingedele vipitavyoMimi ni muumini wa Kanisa Katoliki na siku ya Leo ni siku ya amri ya kanisa, Kwamba ni lazima kuhudhuria misa ya Ijumaa kuu.
Katika misa ya Ijumaa kuu moja ya sehemu ya Liturjia ya misa ni maombi mbalimbali yanayotolewa kuyaombea mataifa,viongozi wa dini na serikali,walegevu wa imani , wasio mwamini Mungu,Wenye vita,Njaa n.k
Ni kweli kwamba wapo wahubiri wanaoliombea Taifa kwa ujumla lakini hapa ninazungumzia kumwombea yule ambaye anaonekana kutofautiana kwa namna moja ama nyingine kwa zaidi ya mara moja.Tena kwa kumtaja wazi.
Leo katika misa moja kati ya maombi yaliyotajwa ilikuwa kuwaombea waumini wote wa madhehebu mengine ya kikristu.
Nikawaza, Moja kati ya kanisa linaloongoza kwa kushambuliwa na madhehebu mengine ni hili la RC likishutumiwa kwa mambo mbalimbali kama vile kubadili Sabato,Kuitwa mpinga Kristu n.k Lakini pamoja na yote bado Kanisa linawaombea na kuwakumbuka waumini wote wakristu na madhehebu yao popote walipo.
Jambo hili limenifunza unyenyekevu wa hali ya juu kama muumini wa Kristu ni jambo la muhimu na la pekee sana.Hata pale unapodhulumiwa na kushitakiwa kwa uongo ukiwa kama mkristu unapaswa kuwa mnyenyekevu kama jinsi Kristu alivyokuwa mnyenyekevu hata pale aliposhtakiwa kwa uongo, Kanisa linatufundisha kuwa wanyenyekevu daima.
Nawatakia Ijumaa Kuu Njema na Maandalizi Mema Ya Pasaka
Siyo wakristo au madhehebu yote, isitoshe inaonyesha hujasoma alichokiandika ukaelewa.Ukristo ni dini ya upendo..ndio msingi wake mkuu..achana na ile ya wavaa suicide vest.
Tunahimizwa kuwapenda na kuwaombea wote hata maadui zetu na wanao tuchukia.
Bwana Yesu asifiwe.
#MaendeleoHayanaChama
Avatar yako imenibariki mtumishiAmen
Na wewe katafute nani alitoa amri watu wapumzike ijumaa kuu kwenye bibliaNakupa homework.
Katafute maana ya Neno KANISA kibiblia.
Zaburi 95:6-7Mimi ni muumini wa Kanisa Katoliki na siku ya Leo ni siku ya amri ya kanisa, Kwamba ni lazima kuhudhuria misa ya Ijumaa kuu.