Nilichojifunza kwenye kumtafuta mke JF

Nadhani ulimaanisha kazi na si Nazi.

Anyways kwann uingie kwenye mahusiano kwa kudanganya? We jieleze ulivyo utapendwa ulivyo.

Unadhani Eddy mwenye kazi nzuri na Eddy asiye na kazi nzuri ni mtu mmoja? Hao ni watu 2 tofauti na huyo anaekupenda lazima amjue ni Eddy Gani wewe.

By the way hata ukiwa na Mali au kazi nzuri kiasi Gani au kama Huna mwanzoni mwanamke hawezi kukupenda ghafla, lazima muwe wote ndio akupende

Hebu waambie; nimeshangaa pia mtoa uzi mpaka nimetilia mashaka na Master zake 2
 
Wana JF,

Hadi kufikia siku ya leo nimejifunza mengi katika safari yangu ya kumtafuta mchumba au mke, naomba wote tuliowasiliana wanisamehe maana sikuwa mkweli kuhusu elimu yangu ya juu ya Masters mbili pale Esami Arusha Njiro, ni mwandishi wa vitabu vingi vya uchumi na biashara za kimataifa, mali ninazo miliki na kuhusu maisha yangu ninayoishi.

Nilikuwa na sababu ya kutaka kujua nani tutakayekuwa naye na atakubali hali kama nilivyoeleza, mfano nilikuwa nawaeleza wengine kuwa nahitaji watoto wengi zaidi ya 2 hapana nahitaji 1 tu, wote sikuwa muwazi kuwa ninamiliki lodge pale Mbezi, nyumba mbili Kimara na Tabata zote self bado mpya, Arusha nyumba 1 kwa Morombo self, Mwanza lodge 1 Nyamagana. Walimu wengi na askari polisi wa wilaya ya Hai na Arusha nawapa mikopo midogo ya pesa ya chapchap.

Nilipanga vacation self driving ya kwenda Nairobi hakuna aliyejua kule itakuwaje isipokuwa exchange ya mambo mengi ya maisha na kufahamu mengi kuhusu mazingira na maisha anakoishi.

Nimejifunza kuwa lazima msichana akupende kwa kile ulicho nacho, wengi wana malengo ila wasiposikia kile wanachokitafuta wanakata tamaa na wanaondoka anaweza akakueleza hataolewa tena.

Upande wangu naishia hapa sitamtafuta mke tena hapa, nitampata kwa njia nyingine pamoja na kuwa inahitaji uvumilivu kidogo. Kuficha mali imenisaidia sana maana huenda mwingine angekuja kutokana na nilicho nacho ila uongo umenisaidia sana ila samahani kwa walio kwazika.
Kwani ukitafuta mchumba mke ni lazima useme una mali au huna?! Angalia mfano hapo chini:
Umri:39
Kazi:Banker/Nimejiajiri
Elimu:Diploma,Degree,Masters,PhD
Makazi:Mwanza

Huna haja ya kuandika kiwango cha mshahara wako au mali ulizonazo, mwanamke akiongea na wewe tu atajua huyu ni mtu wa aina gani, anavutiwa na wewe au la!
 
Kwani ukitafuta mchumba mke ni lazima useme una mali au huna?! Angalia mfano hapo chini:
Umri:39
Kazi:Banker/Nimejiajiri
Elimu:Diploma,Degree,Masters,PhD
Makazi:Mwanza

Huna haja ya kuandika kiwango cha mshahara wako au mali ulizonazo, mwanamke akiongea na wewe tu atajua huyu ni mtu wa aina gani, anavutiwa na wewe au la!

Kama una PhD na mali huna bora ukae kimya tu ujitombe mwnyw
 
Kwani ukitafuta mchumba mke ni lazima useme una mali au huna?! Angalia mfano hapo chini:
Umri:39
Kazi:Banker/Nimejiajiri
Elimu:Diploma,Degree,Masters,PhD
Makazi:Mwanza

Huna haja ya kuandika kiwango cha mshahara wako au mali ulizonazo, mwanamke akiongea na wewe tu atajua huyu ni mtu wa aina gani, anavutiwa na wewe au la!
miss you
 
kama unadhani wanawake tunapenda vitu vyenu mbona huko mtaani kwenu hawajakutaka siku zote?
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa safiiiiiiiiiii waaambie hao mbona uko kitaaa hajapigwa mpaka aje kujitangaza hapa hahahaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wapewape hao bestito
 
Back
Top Bottom