Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wala mtu haihitaji kazi kubwa kama una nia ya kuwachanganya changanya, ni rahisi sana kuwachomekea mtu, kwa mfano leo hii Nape akisema anahamia chadema atapokewa kwa Mikono miwili na kupewa Cheo kikubwa tu baada ya muda mchache sana, halafu karibia na Uchaguzi anarudi CCM au anajiuzulu wadhifa wake, chadema watarudi tena walipokuwa wakati Nape anaisurubisha chadema na kuanza kumlaumu, lkn itakuwa wameshachelewa!
Kwa kifupi ninachotaka kusema ni kwamba mnashawishika na kuamini watu kirahisi, sana!
Nimetumia Nape kama mfano tu, angeweza kuwa Mwigulu, Ridhwani au hata Zito Kabwe!
Kwa kifupi ninachotaka kusema ni kwamba mnashawishika na kuamini watu kirahisi, sana!
Nimetumia Nape kama mfano tu, angeweza kuwa Mwigulu, Ridhwani au hata Zito Kabwe!