Nilichojifunza kwa Niffer

Dali Mpofu

Senior Member
Joined
May 9, 2021
Posts
173
Reaction score
329
Sitaki kujua nani yuko nyuma yake(kwasababu kama ni hivyo kwanini wewe asije nyuma yako huyo mtu?).

Ile kauli ya mwenye nacho uongezewa si lazima awe na hela aongezewe hela,unaweza ukawa na nguvu ya kufanya ukaongezewa mbinu, ndo labda ilitokea kwa Niffer.

Wanawake warembo hubweteka na urembo wao, ufanya urembo wao kama kitega uchumi kupitia miili yao lakini Niffer kwake haijakuwa hivyo.

Istoshe ni mwanamke mrembo wa sura, umbo na mwili lakinu kaweka urembo pembeni huyu mdada anapambana aisee.

Sijawai kumjua zaidi niko mikoani vijijini mimi lkn ipo siku naitaji nipate mda wa huyu mdada nizungumze nae mawili matatu.

Watoto wakike wamfanye huyu rolemodel wao, waige upamba naji wake. Hakuna sponser atakaewekeza kwa kwa mwanamke kichwa maji, lazima awe smart kwenye kichwa.

Sisi mageologist hadi tufanye expolation tufanye sampling ndo turuhusu kuwekeza kama hakuna matokeo mazuri hatuwezi kuwekeza kwenye hasara.

Hongera Niffer
 
Kafanya maajabu NFFER!picha yake na hayo maajabu!
 
Niffer Huyu huyu aliyesema alianza biashara na mtaji wa elfu arobaini eti leo analaza zaidi ya milioni mia na hamsini?
 
Niffer Huyu huyu aliyesema alianza biashara na mtaji wa elfu arobaini eti leo analaza zaidi ya milioni mia na hamsini?
Ndo maana nkasema sitaki kujua kuhusu nyuma yake kuna nini/nani ila anastahili pongezi
 
Mjollo naomba intern....
 
Ndio nani huyo hapa Daslamu?
Mimi mgeni ...
 
Niffer Huyu huyu aliyesema alianza biashara na mtaji wa elfu arobaini eti leo analaza zaidi ya milioni mia na hamsini?
KUmbr anahongeka vizuri huyu demu.

Kama utajiri wake ni around 150M kumbe naweza kumtoa vacasheni na nikatumia naye 50M tu akaniona bonge la bwana.
 
KUmbr anahongeka vizuri huyu demu.

Kama utajiri wake ni around 150M kumbe naweza kumtoa vacasheni na nikatumia naye 50M tu akaniona bonge la bwana.
From zero to hapo alipo kwa mtoto wa kike na umri wake si haba
 
Una uhakika au unaropokaa ? Umelipwa?
 
Sema ile mashine mnato kinoma.... nikimpata nafunga siku 5 na kutoa fungu la kumi kwenye bucha la Shirima kitimoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…