Nilichojifunza kupitia moto soko la Kariakoo

Muuza shombo

Member
Joined
Jun 22, 2021
Posts
26
Reaction score
36
Moja kwa moja niende kwenye mada wana jf,..ni dhahiri wengi tumesikitishwa na janga ka moto lililotokea kariakoo na kuwaacha wafanyabiashara wengi na majonzi.Katika kila jambo linalotokea kuna pia la kujifunza.

Jeshi la zimamoto lime jidhihirisha lilivyo la hovyo kuanzia vitendea kazi vyake ,jeshi lenyewe lisilo na udhoefu na uokoaji wenyewe ulivyo wa kutia aibu.

Haiwezekani jeshi la zima moto linategemea kufuata maji eneo la mbali ili kuja kuzima moto city center.

LA KUJIFUNZA..
1 . Lazima jeshi la zimamoto litenge maeneo ya ku reserve maji kama matenki maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa ya watu.

2. Njia za mawasiliano ziboreshwe ili waweze kufika maeneo husika kwa muda ,si kwa kariakoo tu,,binafsi naamini kuna maeneo zimamoto huchelewa kwa sababu sehemu zenyewe hazifahamiki au kufikika kwa muda.

3.Maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa au mali za watu ni lazima kuwa na vifaa maalum vya kutoa alert kama moto umezuka ,,si mpaka watu wawapigie simu,,najua taasisi kubwa zina mifumo hii ila ni kwa jitihada zao.

UPANDE WA PILI ..WAFANYA BIASHARA.
Kwa hasara zilizotokea pale kariakoo wapo wengi watakao kwama kurudi na kuendelea na kazi zao, hivyo basi.
Ni jukumu la kila mfanyabishara aliye makini na biashara yake kuwa na bima ya biashara itakayo mkinga wakati wa majanga.

Kwa jinsi ninavyo wafahamu wabongo wenzangu ,,wengi hawana hizo bima na hata walio nazo bado huwa wanaficha taarifa zao sahihi ili wasilipe kiwango sahihi,si ajabu mtu kapata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 500 na akaishia kupewa compesation ya milioni 10 hadi 15.

2. Jukumu la usalama wako na mali zako unaanzia kwako mwenyewe. Tusiwategemee sana jeshi la zimamoto hata polisi,naamini kuna wengine ndani ya lile jengo wameokoa mali zao hata kama si zote,na pia kuna waliokuwa na nafasi ya kufanya hivyo piah ila hawakufanya wakiamini jeshi la zimamoto lingeweza kuzima moto ule haraka.trust you and yourself.

KWA VIONGOZI;
Viongozi wetu wengi huwa na tabia ya kufanya kazi kwa mazoea sana,,si ajabu chanzo cha moto ukute ni jambo lililokua likitokea mara kwa mara bila ya kutafutia ufumbuzi wa kudumu, si ajabu mama samia asingewafukuza wale viongozi hata moto usingezuka kwa sababu tayari wao walijua ni wapi pana matatizo au mianya ya watu kufanya uharibifu, viongozi wapya wao wanachojua ni kukusanya kodi tu.vingine ni kuongea na wazawa tyu mambo yanakaa sawa.
 
3.Maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa au mali za watu ni lazima kuwa na vifaa maalum vya kutoa alert kama moto umezuka ,,si mpaka watu wawapigie simu,,najua taasisi kubwa zina mifumo hii ila ni kwa jitihada zao .

Smoke Detector wainstall hao, ikisense inapiga alarm pia wainstall system ya kuzima moto automatic ---> Kukiwa na moto tu inatoa gasi ya kufa mtu na kuzima moto kwa haraka.
 
Kwenye nchi za wenzetu, smoke detectors ni mandatory kuwa nazo katika kila jengo hata liwe la mtu binafsi. Automatic fire extinguishers nazo ni lazima kuzi-install.

Back kwenye urban planning, inakuwaje mji hauna fire hydrants mpaka hayo maji yafuatwe mbali?

Na kama miundo mbinu ya maji ni mibovu, si wangejiongeza wakawa na ma-bozer yao binafsi kuliko kuomba maji kutoka kwa wenye ma-bozer binafsi wakati moto unaendelea kushika kasi?

All in all, jeshi hilo liko Ill equipped kukabiliana na majanga ya moto yanapotokea. Majengo marefu yamekuwa mengi na wanahitaji kuwa na vifaa vya kisasa zaidi. Kama Kariakoo hali ya readiness ya jeshi letu la zimamoto ndio hiyo, je huko viungani hali itakuwaje?
 
Zamani kulikuwa maeneo wameweka vyanzo vya dharula vya maji,gari la zimamoto linafika hapo na kujaza maji,kwa sasa nadhani vyote vimekufa,na sokoni kwenyewe soko lote limezungukwa na maduka na machinga,tofauti na ilivyokuwa hapo kabla!,kwa hali ile hilo gari la zimamoto litapita na kusimama wapi pale?....
 
Moja kwa moja niende kwenye mada wana jf,..ni dhahiri wengi tumesikitishwa na janga ka moto lililotokea kariakoo na kuwaacha wafanyabiashara wengi na majonzi.Katika kila jambo linalotokea kuna pia la kujifunza.

Jeshi la zimamoto lime jidhihirisha lilivyo la hovyo kuanzia vitendea kazi vyake ,jeshi lenyewe lisilo na udhoefu na uokoaji wenyewe ulivyo wa kutia aibu.

Haiwezekani jeshi la zima moto linategemea kufuata maji eneo la mbali ili kuja kuzima moto city center.

LA KUJIFUNZA..
1 . Lazima jeshi la zimamoto litenge maeneo ya ku reserve maji kama matenki maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa ya watu.

2. Njia za mawasiliano ziboreshwe ili waweze kufika maeneo husika kwa muda ,si kwa kariakoo tu,,binafsi naamini kuna maeneo zimamoto huchelewa kwa sababu sehemu zenyewe hazifahamiki au kufikika kwa muda.

3.Maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa au mali za watu ni lazima kuwa na vifaa maalum vya kutoa alert kama moto umezuka ,,si mpaka watu wawapigie simu,,najua taasisi kubwa zina mifumo hii ila ni kwa jitihada zao.

UPANDE WA PILI ..WAFANYA BIASHARA.
Kwa hasara zilizotokea pale kariakoo wapo wengi watakao kwama kurudi na kuendelea na kazi zao, hivyo basi.
Ni jukumu la kila mfanyabishara aliye makini na biashara yake kuwa na bima ya biashara itakayo mkinga wakati wa majanga.

Kwa jinsi ninavyo wafahamu wabongo wenzangu ,,wengi hawana hizo bima na hata walio nazo bado huwa wanaficha taarifa zao sahihi ili wasilipe kiwango sahihi,si ajabu mtu kapata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 500 na akaishia kupewa compesation ya milioni 10 hadi 15.

2. Jukumu la usalama wako na mali zako unaanzia kwako mwenyewe. Tusiwategemee sana jeshi la zimamoto hata polisi,naamini kuna wengine ndani ya lile jengo wameokoa mali zao hata kama si zote,na pia kuna waliokuwa na nafasi ya kufanya hivyo piah ila hawakufanya wakiamini jeshi la zimamoto lingeweza kuzima moto ule haraka.trust you and yourself.

KWA VIONGOZI;
Viongozi wetu wengi huwa na tabia ya kufanya kazi kwa mazoea sana,,si ajabu chanzo cha moto ukute ni jambo lililokua likitokea mara kwa mara bila ya kutafutia ufumbuzi wa kudumu, si ajabu mama samia asingewafukuza wale viongozi hata moto usingezuka kwa sababu tayari wao walijua ni wapi pana matatizo au mianya ya watu kufanya uharibifu, viongozi wapya wao wanachojua ni kukusanya kodi tu.vingine ni kuongea na wazawa tyu mambo yanakaa sawa.
Great thinker thinking big. Bogus /useless post
 
Hizi lawama wala sio za jeshi la Zimamoto, ni lawama kwa mamlaka zote mpaka serikali kuu. Zimamoto wanaweza babe 5% ya mzigo wa lawama.
Tena sio hao tu hata watu binafsi pamoja na wafanyabiashara nao wakulaumiwa. Hamna hata mmoja mwenye bima ya biashara yake wameweka bima kwenye magari tu kwa kuwa ni lazima.

Tujiulize nani humu ana bima ya nyumba yake au nani humu ameweka fire hydrants au fire extinguishers nyumbani kwake? Wote tunaishi kwa mazoea tu kuanzia serikali mpk mtu mmoja mmoja
 
Tunaishi kihasara mno. Hili janga tujifunze kitu walau tukatie bima biashara zetu.
 
Moja kwa moja niende kwenye mada wana jf,..ni dhahiri wengi tumesikitishwa na janga ka moto lililotokea kariakoo na kuwaacha wafanyabiashara wengi na majonzi.Katika kila jambo linalotokea kuna pia la kujifunza.

Jeshi la zimamoto lime jidhihirisha lilivyo la hovyo kuanzia vitendea kazi vyake ,jeshi lenyewe lisilo na udhoefu na uokoaji wenyewe ulivyo wa kutia aibu.

Haiwezekani jeshi la zima moto linategemea kufuata maji eneo la mbali ili kuja kuzima moto city center.

LA KUJIFUNZA..
1 . Lazima jeshi la zimamoto litenge maeneo ya ku reserve maji kama matenki maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa ya watu.

2. Njia za mawasiliano ziboreshwe ili waweze kufika maeneo husika kwa muda ,si kwa kariakoo tu,,binafsi naamini kuna maeneo zimamoto huchelewa kwa sababu sehemu zenyewe hazifahamiki au kufikika kwa muda.

3.Maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa au mali za watu ni lazima kuwa na vifaa maalum vya kutoa alert kama moto umezuka ,,si mpaka watu wawapigie simu,,najua taasisi kubwa zina mifumo hii ila ni kwa jitihada zao.

UPANDE WA PILI ..WAFANYA BIASHARA.
Kwa hasara zilizotokea pale kariakoo wapo wengi watakao kwama kurudi na kuendelea na kazi zao, hivyo basi.
Ni jukumu la kila mfanyabishara aliye makini na biashara yake kuwa na bima ya biashara itakayo mkinga wakati wa majanga.

Kwa jinsi ninavyo wafahamu wabongo wenzangu ,,wengi hawana hizo bima na hata walio nazo bado huwa wanaficha taarifa zao sahihi ili wasilipe kiwango sahihi,si ajabu mtu kapata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 500 na akaishia kupewa compesation ya milioni 10 hadi 15.

2. Jukumu la usalama wako na mali zako unaanzia kwako mwenyewe. Tusiwategemee sana jeshi la zimamoto hata polisi,naamini kuna wengine ndani ya lile jengo wameokoa mali zao hata kama si zote,na pia kuna waliokuwa na nafasi ya kufanya hivyo piah ila hawakufanya wakiamini jeshi la zimamoto lingeweza kuzima moto ule haraka.trust you and yourself.

KWA VIONGOZI;
Viongozi wetu wengi huwa na tabia ya kufanya kazi kwa mazoea sana,,si ajabu chanzo cha moto ukute ni jambo lililokua likitokea mara kwa mara bila ya kutafutia ufumbuzi wa kudumu, si ajabu mama samia asingewafukuza wale viongozi hata moto usingezuka kwa sababu tayari wao walijua ni wapi pana matatizo au mianya ya watu kufanya uharibifu, viongozi wapya wao wanachojua ni kukusanya kodi tu.vingine ni kuongea na wazawa tyu mambo yanakaa sawa.
Hii inaitwa tafakuri nzito. Big up.
 
Ngoja kwanza tumalizie kujenga sanamu mkuu
 
Kwa jinsi wamachinga wamejaza meza kule mjini sijui hizo gari za fire zitapita wapi
 
Ni aibu kubwa sana, ni wakati kulibadilisha hili jeshi la zima moto liwe jeshi la kuzuia moto na kupambana na moto
 
Inasikitisha sana...

Cha ajabu kwenye private companies unalazimishwa ukaguliwe na zima moto na upewe certification zao na uwe na hizo miundombinu...
Hapo hapo unalazimishwa ukaguliwe na OSHA na upewe certification zao kuhusu usalama wa mali na binadamu katika eneo lako la kazi...

Soko la kariakoo na maeneo mengine ya serikali ingekua wanafanyiana haya nadhani majanga yangekua yanaepukika kwa urahisi...
 
Tena sio hao tu hata watu binafsi pamoja na wafanyabiashara nao wakulaumiwa. Hamna hata mmoja mwenye bima ya biashara yake wameweka bima kwenye magari tu kwa kuwa ni lazima.

Tujiulize nani humu ana bima ya nyumba yake au nani humu ameweka fire hydrants au fire extinguishers nyumbani kwake? Wote tunaishi kwa mazoea tu kuanzia serikali mpk mtu mmoja mmoja
Daah jomba umenifungua macho,ngoja nianze michakato.
 
Back
Top Bottom