Nilichojifunza kuhusu Mkoa wa Morogoro

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,623
9,165
Wakuu nashukuru sana kwa wale mlionipa pole kwa lile tukio lililonikuta siku chache kabla ya Christmas,

Huu ni muendelezo,

Wakuu kwa wale mnaotoka maeneo mengine ya mikoani mnaokuja kuishi au kutafuta maisha ktk mkoa wa Morogoro, hasa hasa Morogoro mjini, kuweni makini.

Watu wa huu mkoa hawana kabisa haiba ya shukurani au utu, ukiwa Ktk mkoa huu usipende kusaidia hovyo hovyo, ni kheri uonekane mchoyo,

Ule ukarimu wa mikoani umeniponza, kila niliyemsaidia wore wamegeuka maadui,

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoamua kufanya wema, basi fanya wema huo kama umejitolea (umeamua tu kufanya na si kujionyesha) na usisubiri malipo. Na hata ukipata malipo basi mara nyingi tegemea mabaya.

Ukifanya hivyo utaishi kwa amani huku ukiwa na moyo huo huo daima.
 
Wakuu nashukuru sana kwa wale mlionipa pole kwa lile tukio lililonikuta siku chache kabla ya Christmas,

Huu ni muendelezo,

Wakuu kwa wale mnaotoka maeneo mengine ya mikoani mnaokuja kuishi au kutafuta maisha ktk mkoa wa Morogoro, hasa hasa Morogoro mjini, kuweni makini.

Watu wa huu mkoa hawana kabisa haiba ya shukurani au utu, ukiwa Ktk mkoa huu usipende kusaidia hovyo hovyo, ni kheri uonekane mchoyo,

Ule ukarimu wa mikoani umeniponza, kila niliyemsaidia wore wamegeuka maadui,

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww NI hewa:hakuna mkoa ninaouelewa kama Moro,kuanzia mazingira mpaka wenyeji.
 
Wakuu nashukuru sana kwa wale mlionipa pole kwa lile tukio lililonikuta siku chache kabla ya Christmas,

Huu ni muendelezo,

Wakuu kwa wale mnaotoka maeneo mengine ya mikoani mnaokuja kuishi au kutafuta maisha ktk mkoa wa Morogoro, hasa hasa Morogoro mjini, kuweni makini.

Watu wa huu mkoa hawana kabisa haiba ya shukurani au utu, ukiwa Ktk mkoa huu usipende kusaidia hovyo hovyo, ni kheri uonekane mchoyo,

Ule ukarimu wa mikoani umeniponza, kila niliyemsaidia wore wamegeuka maadui,

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ulikuja na yako tu, tumeishi hapa morogoro tangu tukiwa watoto na mpaka tinazeekea hapa hakuna vitu kama unavyosema..

Sema ww ulitoa msaada kwa kutarajia malengo fulani

Alitoa nini mbona kaandika kama kachanginyikiwa.

Mimi majuzi nilijisikia furaha sana baada ya kupata nafasi ya kumnunulia luku ndogo tu elfu 10 ili familia ya mwana JF mmoja aliomba msaada wasilale giza namba za mita alijichanganya.

Simfahamu na wala sijachat nae tena nilipotuma tu game over.
 
Back
Top Bottom