Nilichojifunza kuhusu "marafiki" na "pesa"

Nilichojifunza kuhusu "marafiki" na "pesa"

sio marafii tu. hata kunabaadhi ya ndugu. ila kama ukifulia na kukosa kuwasaidia. hata salaam za mara kwa mara zinapungua.
PESA mwanaharamu
 
Ni kweli kabisa marafiki wengi mnakutana kwenye raha ila ukipata tatizo wote watakutenga hili lishanitokea miaka ya 2000, tokea kipindi hicho sina habari na mtu zaidi ya salamu na stori za mpira full stop.
Naishi kama Freemason
 
Mtoa kwa Upande fulani uko sahihi ila waswahili wanasema pia ongea na watu uvae viatu, Ubahili sio mzuri ata kidogo na unafelisha mambo mengi network za maana zinaanzia na marafiki na Dili za Pesa ndefu huwa planned maeneo ya starehe ambapo pesa inabidi tu itumike,
 
Hao sio marafiki zako. Ni watu mnafahamiana. Rafiki ni zaidi ya ndugu kwenye shida na raha na kiuhalisia rafiki yako anajua mengi kukuhusu kuliko ndugu zako.
 
Back
Top Bottom