Nilichojifunza kuhusu mahusiano

Nilichojifunza kuhusu mahusiano

Usinifokee

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
2,502
Reaction score
3,525
Habarini za asubuhi, poleni kwa majukumu ya siku wale tuliotoka makazini nyakati hizi, na hongereni mnaoendelea na majukumu pia

Mimi si muandishi mzuri ila ngoja nilete kisa kilichonikuta siku kadhaa na nilichojifunza kupitia visa hivyo.

Kwanza mimi si mpenzi sana wa haya madude yanaitwa mapenzi.

Nilikuwa kwenye mahusiano, haya mahusiano yalikua na changamoto kadhaa kabla hatujawa wapenzi.

Kuipata namba yake ilikuwa changamoto, na baada ya kuipata namba napo mawasiliano yakawa ni shortcut sana. Hayaridhishi yaani kiujumla, nikakomaa mpaka aliporidhia na kukubali ombi langu juu yake.

Sasa hapa mawasiliano yakapamba Moto kila wakati simu yangu inaita hata nikiwa kwenye majukumu yangu hivyo nikaamini kila kitu kiko vizuri ni mimi tu.

Siku moja akanieleza jambo moja lilomfanya kuwa single, ni pale alipo blokiwa na aliyekua mpenzi wake kule WhatsApp na huyo ex akaamua kumpost mke wake mtarajiwa hivyo ikapekea yeye kuwa single.

Kisa kinaanza katika hizi week mbili alianza kuto kujibu simu au kuto kujibu SMS kabisa.

Nikahisi kuna jambo haliko sawa, lakini sikufuatilia sanaa kwasababu nilikwenda nje ya mkoa kikazi na nilipokua huko hakua ananitafuta nikaamua nirudi kabla ya muda niliompa. Sasa nikamwambia naomba nimuone sehemu fulani akadai yuko busy.

Jumatatu nikaamua kwenda bila taarifa, nikakuta yupo busy na simu mkononi.

Kufupisha story, niliomba simu yake akakataa kunipa ila nikaona kama anafuta vitu kwenye simu nikatulia baadae akanipatia [emoji28][emoji28][emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28] simu ina password mpaka kwenye settings kotee.

Nilichofanya nikaingia kwenye calls hakukuwa na password, nikafuatilia nani kapiga na ni mara ngapi, hizi application za password ukitaka uilazimishe ikupeleke kwenye SMS ingilia kupitia contact au calls za aliyempigia hivyo itakupeleka direct lakini baada ya dakika kadhaa itakudai password.

Mwanamke huyo, ana vijana wa 3 mimi nikiwa mmoja wapo. Huku yeye akilipambambania penzi la Ex wake bila kujali alifanyiwa nini.

Baada ya kuwa mkali akakiri lakini akadai hawezi mpoteza hata mmoja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2].

Mimi nikaamua kumwambia siezi kuwa kwenye msururu.

Ombi langu kwetu hasa vijana sisi wa kiume tuwe makini mno kwa hawa wadada au wachumba tulionao.

Vijana tunakufa kizembe.
 
Wanaume tuache kulalamika. Mwanaume ukikuta dem wako ana mtu piga chini chukua mwingine usikae kizembe.

90% ya wanawake wa sasa ni malaya tu. Wana misururu ya wanaume. Hata hao wanaume wanaodhani wako peke yao ni kwamba tu hawajabaini kama wapo kwenye msururu.
 
Nimeshamueka chini.... Siezi hiyo mambo
 
Bado hujajifunza hapo, subiri siku atakapokupiga pigo takatifu joh, utarudi tena kutupa mrejesho hapa 😅
 
Habarini za asubuhi, poleni kwa majukumu ya siku wale tuliotoka makazini nyakati hizi, na hongereni mnaoendelea na majukumu pia

Mimi si muandishi mzuri ila ngoja nilete kisa kilichonikuta siku kadhaa na nilichojifunza kupitia visa hivyo.

Kwanza mimi si mpenzi sana wa haya madude yanaitwa mapenzi.

Nilikuwa kwenye mahusiano, haya mahusiano yalikua na changamoto kadhaa kabla hatujawa wapenzi.

Kuipata namba yake ilikuwa changamoto, na baada ya kuipata namba napo mawasiliano yakawa ni shortcut sana. Hayaridhishi yaani kiujumla, nikakomaa mpaka aliporidhia na kukubali ombi langu juu yake.

Sasa hapa mawasiliano yakapamba Moto kila wakati simu yangu inaita hata nikiwa kwenye majukumu yangu hivyo nikaamini kila kitu kiko vizuri ni mimi tu.

Siku moja akanieleza jambo moja lilomfanya kuwa single, ni pale alipo blokiwa na aliyekua mpenzi wake kule WhatsApp na huyo ex akaamua kumpost mke wake mtarajiwa hivyo ikapekea yeye kuwa single.

Kisa kinaanza katika hizi week mbili alianza kuto kujibu simu au kuto kujibu SMS kabisa.

Nikahisi kuna jambo haliko sawa, lakini sikufuatilia sanaa kwasababu nilikwenda nje ya mkoa kikazi na nilipokua huko hakua ananitafuta nikaamua nirudi kabla ya muda niliompa. Sasa nikamwambia naomba nimuone sehemu fulani akadai yuko busy.

Jumatatu nikaamua kwenda bila taarifa, nikakuta yupo busy na simu mkononi.

Kufupisha story, niliomba simu yake akakataa kunipa ila nikaona kama anafuta vitu kwenye simu nikatulia baadae akanipatia [emoji28][emoji28][emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28] simu ina password mpaka kwenye settings kotee.

Nilichofanya nikaingia kwenye calls hakukuwa na password, nikafuatilia nani kapiga na ni mara ngapi, hizi application za password ukitaka uilazimishe ikupeleke kwenye SMS ingilia kupitia contact au calls za aliyempigia hivyo itakupeleka direct lakini baada ya dakika kadhaa itakudai password.

Mwanamke huyo, ana vijana wa 3 mimi nikiwa mmoja wapo. Huku yeye akilipambambania penzi la Ex wake bila kujali alifanyiwa nini.

Baada ya kuwa mkali akakiri lakini akadai hawezi mpoteza hata mmoja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2].

Mimi nikaamua kumwambia siezi kuwa kwenye msururu.

Ombi langu kwetu hasa vijana sisi wa kiume tuwe makini mno kwa hawa wadada au wachumba tulionao.

Vijana tunakufa kizembe.
Mmh! sasa We ulitaka uwe peke yako tuh![emoji15][emoji15][emoji15]
Wakat huduma unazotoa ni ndogo hazitoshi[emoji19][emoji19][emoji19]

Mkiwa watatu At least Maisha yanaenda si unajuwa tena Mafiga Matatu Huivisha Chakula[emoji1][emoji2][emoji3]
 
Sema ukimwi wa watu wengi unachanganya sana
 
Mmh! sasa We ulitaka uwe peke yako tuh![emoji15][emoji15][emoji15]
Wakat huduma unazotoa ni ndogo hazitoshi[emoji19][emoji19][emoji19]

Mkiwa watatu At least Maisha yanaenda si unajuwa tena Mafiga Matatu Huivisha Chakula[emoji1][emoji2][emoji3]
Tuko kwenye kampeni ya 95% katika kushughulika na maambukizi ya VVU mpaka 2030 sidhani kama ungeyaongea hayo
 
Mmh! sasa We ulitaka uwe peke yako tuh![emoji15][emoji15][emoji15]
Wakat huduma unazotoa ni ndogo hazitoshi[emoji19][emoji19][emoji19]

Mkiwa watatu At least Maisha yanaenda si unajuwa tena Mafiga Matatu Huivisha Chakula[emoji1][emoji2][emoji3]
Ndio maana wengi siku hizi breki pumbuz
 
Back
Top Bottom