Nilichojifunza Dar es Salaam mpaka sasa

mkuu kule ni Jijini kuna ubepari yani ukauzu na roho mbaya tofautisha na huko kijijini kwenu kwenye ujamaa
 
Unaongelea maisha ya Uswahilini wewe, bado haujaifahamu Dar vizuri
 
Umenikumbusha maisha yangu ya sinza
 
Dar ni jiji la fursa ni sehemu pekee ambayo kila mtu ana nafasi sawa ya kufanikiwa kwa sababu ya mzunguko mkubwa wa pesa uliopo hapo.
Hamna mambo ya kufatiliana eti sijui kulogana kizembezembe. Cha muhimu we fata lililokuleta utaniambia

Ndio nikasema miji yenye waislamu wengi huwezi kukuta huo ujinga, may be wachache sana.

Tanga lina waisilamu wengi na huwezi sikia mauwaji ila mara chache sana.

Singida waislamu ni wengi sana lakini huwezi sikia hayo mauwaji

Zanzibar ina waisilamu wengi zaidi ya asilimia 90 na hutasikia mauwaji

Kigoma pia hivyo hivyo

Mikoa yote ya pwani

Tabora pia hivyo hivyo ila wachache sana labda wanaoishi pembeni

Kilwa

Lindi

Mafia


In short wilaya/mkoa wowote wenye waislamu wengi mauwaji huwa sio sanaa.
 
Andika kiswahili fasaha, Acha ujinga na upuuzi kuiga watu wa Kenya

Jitu zima na mandevu yako Unaandika kiswahili ambacho hakitumiki kimuundo

Eti"Ukipita kwa bar"

Kwa bar sio kiswahili fasaha

Mnaiga mambo ya mombosa huko, Mnaiga mpaka kuinamishwa
Kwani umelazimishwa...?! [emoji848] Huu ndio uhuru wa matumizi ya kimtandao ambao wengi wenu mnautaka kumbe?!... Yani nyie watoto mnaosomeshwa na halmashauri za vijiji huwa mnatumika hovyo sana katika Elimu mlizo bahatika kupata yani hovyo kabisaa. [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Sasa watu wa dsm asilimia 80 si wanakaa uswahili ...Hawa aslimia 20 ndio utakuta wanakaa masaki ,mbezi beach ,mikocheni ,....
Kwa point hiyo usiiseme Dar tu kwani watanzania asilimia kubwa wengi ni maskini, nitajie mkoa ambao asilimia 80 ni matajiri na asilimia 20 ni maskini.
Si bora hata hapa Dar kuliko huko mikoani
 

Duh, wanaishi maisha ya kubahatisha
 
Hii ya kuombana hela njiani inanikeraga yaan acha na sio wanawake tu hata wanaume anagongea nauli njiani 'naelekea mbezi sina nauli' ila mimi sio mtu wa kukunja hua nawapa inategemea amekujaje
 
Mule mule
 
Inategemea mkuu, Dar es salaam ndiyo Tanzania penyewe.
Mambo yote yako hapa Dar.
Watu masikini wako hapa, matajiri pia wako hapa.
Na mkoa wowote, hali ni hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…