Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Dar kutamu asikudanganye mtu hakuna mambo ya ukabila wala udini labda kwa waajiriwa is kitaa kikubwa unajishugulisha hamna ishu za kuchorana hata uokoye makopo huku ukifanikiwa kujenga unamaliza kazi unaweza kuweka hata Banda la chips nje kwako ukakamata pesa hata 50k per day mikoani jau ushamba mzigo mikoa yote Ina kasoro ukabila na udini ndo maana napenda dar japo sip kwetu
Mpango mzima viwanja mi kuishi mkoa ambao hauna bahari ni sumu na siwajai kuishi labda mwanza maana kuna ziwa napenda tu
Mchanganyiko mkubwa wa watu hamna inferiority complex kikubwa upambane ila huko mikoani washamba kithenge
Toa njombe eka musomaMimi ni wa mkoani, lakini nitazungumzia kipengele cha mauwaji. hapo kwenye mauwaji nitakukatalia. Kama wewe ni mfuatiliaji wa news basi utakua umeshajua ni kanda zipi watu wake wanauwana kwa wingi!! Hapo dar itoe kabisa, ckatai kwamba hakuna mauwaji, laa hasha, yapo lakinii co mengi kama mikoani.
Njombe
Geita
Iringa
Mikoa ya Kaskazini
Tarime, ingawa muda cjasikia mauwaji.
Toa njombe eka musoma
Uliishi kwa hesabu Kali sanaNiliishi Dar miezi sita bila sehemu ya kulala
Nilikuwa nafanya kazi usiku na mchana
Mchana kwenye taasisi moja ya serikali, malipo ilikuwa ni kwa masaa, usiku kiwandani mikocheni. Siku ambazo sikuwa na kazi usiku nilikuwa nakesha bar) club
Siku ambazo sikuwa na kazi mchana nilikuwa nalala beach. Na tulikuwa wengi tu
And no body cares mwaisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Kanda ya ziwa ndo inasikika sana kwa mauaji now daysNa sio tarime mkuu? Ingawa hayasikiki kwa sasa
Ila watu wa Dar wanaishi maisha poa sana. Yaani hakuna kufuatana fuatana, au kuchunguzana!
Unaweza ukaishi nyumba ya kupanga hata miaka 20! Halafu hakuna atakaye kuuliza ni kwa nini unaishi nyumba ya kupanga.
Siyo huku Mikoani tuliko aisee! Tena ujiroge ununue ka gari used, halafu bado uwe unaishi nyumba ya kupanga! Utasimangwa wewe na majirani/watu wako wa karibu, mpaka utakauza hako kagari na kwenda kununua kiwanja.
😂😂Amekuja week hii kutafuta kazi na amefikia kwa dadake aliyeolewa vingunguti[emoji1787]
🤣🤣🤣🤣Mkuu usije sababisha bushman GENTAMYCINE akauza ng'ombe Zake kijijini kwao Bunda vijijini aje Dar kula hizo bata. Mkuu GENTAMYCINE usi amini Maneno.ya Extrovert anafurahisha tu genge , wewe jikalie zako huko huko Mugumu Serengeti uendelee kupost vituko hapa jf
Andika kiswahili fasaha, Acha ujinga na upuuzi kuiga watu wa Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bongo nyoso ukipita kwa bar unaona watu wanapiga Mitungi mpka kuchee + dadaz warembo hakuna Mfano afu wakati huo we mfukoni una buku 2 tu na hapo ndio umetoka mishe zako za siku nzima
Asikwambie mtu Dar bila deals hutoboi kwa mshahara pekee
Hakuna mtu siku hizi anatoka mkoani kuja Dar,aje kufuata nini hasa ikiwa mikoani sasa kuna barabara nzuri,umeme Vijijini, huduma za afya na fursa kama zote?Habari wana JF poleni na majukumu ya kazi......Naomba niende moja kwa moja kwa point yangu hapo juu ya kuhusu hili Jiji letu la Bongo dar
Kwanza kabisa nianze na wakazi wa hili Jiji wengi wanashinda njaa pia
Familia nyingi hazilelewi kama Sisi tunaotokaa huko mikoani
Wengi wa waajiriwa na kipato chao hakikidhi mahitaji yao hivyo kufanya waishi maisha ya kukataa hata ndgu na kujikuta wako busy pindi wanapowatembelea.
Wengi hawana hofu ya Mungu kiasi Ni rahisi kukuta Mauwaji, Ugomvi, Ukahaba, Ujambazi na wivi kwa vijana ambao ndio panya road tishio katika baadhi ya mitaa.
Wengi wa vijana wanaokuja toka mikoani hawana pakulala na hata pia wale Machinga wa baadhi ya masoko makubwa huwa wanalala hapo hapo kwa biashara zao.
Nimalize na hili la unaweza kuwa kwenye Hali Nzuri tu ya kiuchumi na mara ghafla ukajikuta huna kitu kabisaaa hii ndio Dar haina mchezo.
Inawezekana ni kweli kwa kiasi fulani ila bado watu wanaoenda Dar na kubakia mazima bado ni wengi sana. Kumbuka kila leo basi zinaingia Dar na kila sampuli ya abiriaHakuna mtu siku hizi anatoka mkoani kuja Dar,aje kufuata nini hasa ikiwa mikoani sasa kuna barabara nzuri,umeme Vijijini, huduma za afya na fursa kama zote?
Tukija huko labda tufuate huduma za kibingwa na kugeuza..
Halafu ukiwasikiliza watu wa mikoani utafikiri haya ya msoto,maadili mabovu huko mkoani hakuna.Kuna ambao wanatengeneza pesa na ambao wapo kwenye msoto na wengine wenye maadili mabovu hizo specimen ulizotaja zote zipo wanasema kuishi DSM ni form six tosha, all the best kwenye utafutaji wako.