Mjini deals Mzee ukitegemea mshahara hutoboi [emoji110]Bongo ni kawaida unaweza ukawa unatubu zako ghetto huelewi waya mkali hujaiona siku kwa mlo hata mmoja, wakati huo mtaa wa jirani kuna wahuni wanavunja glass, bangi nyingi, vifua wazi na babecue wakiwa wameegesha ndinga zao za hatari uwani [emoji23][emoji23][emoji23] wakiburudishwa na milupo pisi kali. Yani kama mtoni vile. Wanatumia hela tu hata week nzima.
Tena vinywaji vyao ni kama hivi 👇Bongo ni kawaida unaweza ukawa unatubu zako ghetto huelewi waya mkali hujaiona siku kwa mlo hata mmoja, wakati huo mtaa wa jirani kuna wahuni wanavunja glass, bangi nyingi, vifua wazi na babecue wakiwa wameegesha ndinga zao za hatari uwani 😂😂😂 wakiburudishwa na milupo pisi kali. Yani kama mtoni vile. Wanatumia hela tu hata week nzima.
Hahahahah vinywaji wanavyotumia thamani yake inaweza lipia kodi yako ya nyumba kwa mwaka mzima ndani ya masaa machache mno!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bongo nyoso ukipita kwa bar unaona watu wanapiga Mitungi mpka kuchee + dadaz warembo hakuna Mfano afu wakati huo we mfukoni una buku 2 tu na hapo ndio umetoka mishe zako za siku nzimaYupo mwanangu flani yupo Dar soko la Mtongani (kazi zake za sokoni) jana kanipigia nimtumie pesa akatibu mwanae mgonjwa na anasisitiza nitume pesa aokoe maisha ya "malaika". Hapo haangalii mimi nakomaa huku bush kazi yangu kuteremsha mikungu ya ndizi kutoka milimani afu leo mtu wa Dar ndo ananiomba hela eti ya matibabu
Habari wana JF poleni na majukumu ya kazi......Naomba niende moja kwa moja kwa point yangu hapo juu ya kuhusu hili Jiji letu la Bongo dar
Kwanza kabisa nianze na wakazi wa hili Jiji wengi wanashinda njaa pia
Familia nyingi hazilelewi kama Sisi tunaotokaa huko mikoani
Wengi wa waajiriwa na kipato chao hakikidhi mahitaji yao hivyo kufanya waishi maisha ya kukataa hata ndgu na kujikuta wako busy pindi wanapowatembelea.
Wengi hawana hofu ya Mungu kiasi Ni rahisi kukuta Mauwaji, Ugomvi, Ukahaba, Ujambazi na wivi kwa vijana ambao ndio panya road tishio katika baadhi ya mitaa.
Wengi wa vijana wanaokuja toka mikoani hawana pakulala na hata pia wale Machinga wa baadhi ya masoko makubwa huwa wanalala hapo hapo kwa biashara zao.
Nimalize na hili la unaweza kuwa kwenye Hali Nzuri tu ya kiuchumi na mara ghafla ukajikuta huna kitu kabisaaa hii ndio Dar haina mchezo.
Hahahahah vinywaji wanavyotumia thamani yake inaweza lipia kodi yako ya nyumba kwa mwaka mzima ndani ya masaa machache mno!
Halafu watu wako hapo kila weekendKuna watu wanaishi aisee...kuna menu kama hii ukikutana nayo unaweza kutafuta mlango wa kutokea uepuke fedheha🤣
View attachment 2310406
Kawaida sana Mkuu bora hata we ulikua unaenda hata clubNiliishi Dar miezi sita bila sehemu ya kulala
Nilikuwa nafanya kazi usiku na mchana
Mchana kwenye taasisi moja ya serikali, malipo ilikuwa ni kwa masaa, usiku kiwandani mikocheni. Siku ambazo sikuwa na kazi usiku nilikuwa nakesha bar) club
Siku ambazo sikuwa na kazi mchana nilikuwa nalala beach. Na tulikuwa wengi tu
Hata uchanganye mikoa miwili miwili haingii dar mpango mzima imepiga wenzie gap kubwa mno inaenda kuwa mega city kwa population hii watu wanajenga mpaka kuunga dar na pwaniHamna kama Dar hapa Tanzania.
Umeona eeehIla watu wa Dar wanaishi maisha poa sana. Yaani hakuna kufuatana fuatana, au kuchunguzana!
Unaweza ukaishi nyumba ya kupanga hata miaka 20! Halafu hakuna atakaye kuuliza ni kwa nini unaishi nyumba ya kupanga.
Siyo huku Mikoani tuliko aisee! Tena ujiroge ununue ka gari used, halafu bado uwe unaishi nyumba ya kupanga! Utasimangwa na majirani/watu wako wa karibu, mpaka utakauza gako kagari na kwenda kununua kiwanja.
Nimecheka sanaBongo ni kawaida unaweza ukawa unatubu zako ghetto huelewi waya mkali hujaiona siku kwa mlo hata mmoja, wakati huo mtaa wa jirani kuna wahuni wanavunja glass, bangi nyingi, vifua wazi na babecue wakiwa wameegesha ndinga zao za hatari uwani [emoji23][emoji23][emoji23] wakiburudishwa na milupo pisi kali. Yani kama mtoni vile. Wanatumia hela tu hata week nzima.
Club/bar ilikuwa ni kwa ajili ya kukesha tu, soda moja hadi saa 11 asubuhi🤩🤩🤩Kawaida sana Mkuu bora hata we ulikua unaenda hata club