Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,208
- 42,068
Wana jamvi Wasalaam.
Kuna wakati huwa najishangaa sana hasa kwa matamshi yangu na watu wanao nizunguka.
Jamii ilisha aminishwa na mimi mwenyewe kuwa siogopi mtu yeyote,iwe mahakama,polisi mimi siogopi lakini huwa napoteza kumbu kumbu..
Pia kuna wakati nasema wazi kuwa yeyote yule nitamshinda mahakamani lakini nikikutana na vijana wangu nawambia kuwa mahakama haziko huru na hakuna uhuru wa mahakama.
Zitto alipokuwa ana wakwepa polisi na kujificha ndani ya bunge alibezwa sana na kuitwa ni muoga na sio kamanda wa kweli....lakini jana tumeshuhudia msomi,jasiri,kamanda Tundu Lissu kwa uoga alio kopeshwa alijificha ndani ya mahakama zisizo huru na kuomba kuhakikishiwa kuwa hatokamatwa na aliomba security hiyo kwa watu ambao huwaita policeccm na mapolisi,lipolisi
Jana nimejifunza kuwa.
Mahakama ziko huru ndio maana Tundu lissu aligeuza kimbilio..
Polisi wetu hutenda haki ndio maana Lissu aliomba immunity kwa RPC
Vijana tunapo ambiwa tupambane bila kuogopa tuwatazame kwanza wanaosema je wao kweli hawaogopi?
Tundu lissu amesahau kuwa Rais wa chama cha wanasheria ni sawa na Rais wa Tff,Rais wa wacheza bao au waogeleaji.
Pia Lissu jana alitufunza kuwa zakuambiwa changanya na zako maana jana aliomba immunity kwa watu ambao huwa kashifu oooh mapolisi ooh mapolisiccm.
Hongera sana Tundu Lissu