Nilichogundua Weekend hii...

duu uzuri ni nini hasa kwa binadamu? swali tata sana..
 
haukunipa tahadhari tokea mwanzo lakini
........... si ndo nikasema ni yako na watoto wenzio.

Tahadhari ni umri wako mwenyewe.

Wabibi wa umri wako saivi wanasuka masweta, mikeka na mablanketi wewe bize umekaa kwenye keyboard ulitarajie ukute topic gani sasa huku..Jinsi ya kufuma sweta kwa kutumia nyuzi za sufi!??:rockon:
 
naweza pewa ban kwa ajili yako.

Tahadhari ni umri wako mwenyewe.

Wabibi wa umri wako saivi wanasuka masweta, mikeka na mablanketi wewe bize umekaa kwenye keyboard ulitarajie ukute topic gani sasa huku..Jinsi ya kufuma sweta kwa kutumia nyuzi za sufi!??:rockon:
 

salute MWAMUZI.
 
wanaenda hujakutana na watu ma-care free na body zao kwanza kuna costume zinazoshape up na kufunika mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…