Nilichogundua ni hiki

Nilichogundua ni hiki

Hapo unakuwa umefaham au kujua kabila lake, nadhani kiswahili labda kina maneno machache kwasababu kwa wezetu waingereza hii unayo zungumzia ni discovery na kugundua ni invention ambayo inahusisha scientific procedures
Mkuu unalazimisha vitu kwa sababu tu uanaangalia kupitia angle moja,simply to discover is to find out ( a)something existing but not known before-kitu kilichokuwepo lakini hakikuwa kikifahamika,(b) a fact ,mfano scientists have discovered that this disease is carried by rats-ugonjwa huu unasababishwa/unaenezwa na panya, (c)the answer to a question- mfano did you ever discover who sent you the flowers?-umegundua nani aliekutumia maua? kwa hiyo discover ni neno mtambuka linaweza kuwa scientific discover or just a mere discover.INVENTION NI UVUMBUZI-to make up,think or produce something for the first time.
Hitimisho
One discovers something that existed before but was not known such as a place or a fact etc,one invents something that did not exist before(mtu hugundua kitu kilichokuwepo tayari ila hakikuwa kikifahamika vizuri kama mahali au ukweli fulani na mtu huvumbua kitu ambacho hakikuwepoo kabla.Kama hukunielewa hakuna namna tena mkuu.
 
Baada ya kuangalia na kusikiliza vipindi mbali mbali vya television kufikia jana jumanne nimegundua mambo yafuatayo.
1. Dr.Tulia Ackson ni kiongozi ambae yupo vizuri sana kichwani na mwenye kujitambua, uwezo wake wa kujibu maswali chokozi kwa utulivu na busara ni bora pengine kuzidi viongozi wakina mama wengi sana nchini(ukiondoa wale ambao siwajui).Kwa uwezo huo ataendelea "kukimbiwa" sana bungeni.
2.Lemutuz nation,anaonewa tu mitandaoni,jamaa anajua anachokifanya.Baada ya kumsikiliza na kumtizama katika Take one pale clouds Tv,nimegundua kuwa lemutuz anaishi kwa kufuata falsafa aliyoitengeneza mwenyewe kitu ambacho wengi hawana,sasa ni muda wa kumuacha lemutuz aendelee na falsafa yake bila kubughudhiwa.
3.CUF na Lipumba bado hawajajua wanachotaka,hawa wanamlilia Lipumba wale hawamtaki Lipumba,Lipumba amejiuzulu uenyekiti na bado anataka uenyekiti.Tunahitaji sana kupewa elimu ya nini maana ya kujiuzulu,kwa kifupi kujiuzulu ni KUJIUZULU.
4.Mbio za ubingwa wa ligi ya Uingereza zitakuwa ni za farasi wawili,Man city na Man utd, ni vita ya Mourinho au Guardiola.

Kiukweli HUWAFAHAMU...umeathirika na PR effort zao za kutokea kwenye interviews kujisafisha...vyote ulivyoona ni 100% maigizo ya kujisafisha...

Kwa umri huo bado unaamini kabisa interviews za kujisafisha?Mungu wanguuu
 
Hapo kwenye namba moja unatafuta kiki huna lolote
 
Interviews za kawaida(zisizo za kujisafisha) ni zipi mkuu ?
 
Hapo kwenye namba moja unatafuta kiki huna lolote
Jamii forums ipo kwa ajili ya kutoa views, sio lazima kila maoni yanayotolewa yakufurahishe,kiki ni tafsiri yako mkuu.
 
Nimependa namna unavyofikiria ingawa si lazima niwe nimekubaliana nawe.
 
Back
Top Bottom