Nilichogundua ni hiki

Nilichogundua ni hiki

Fredinho

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2016
Posts
971
Reaction score
1,161
Baada ya kuangalia na kusikiliza vipindi mbali mbali vya television kufikia jana jumanne nimegundua mambo yafuatayo.

1. Dr.Tulia Ackson ni kiongozi ambae yupo vizuri sana kichwani na mwenye kujitambua, uwezo wake wa kujibu maswali chokozi kwa utulivu na busara ni bora pengine kuzidi viongozi wakina mama wengi sana nchini(ukiondoa wale ambao siwajui).Kwa uwezo huo ataendelea "kukimbiwa" sana bungeni.

2.Lemutuz nation,anaonewa tu mitandaoni,jamaa anajua anachokifanya.Baada ya kumsikiliza na kumtizama katika Take one pale clouds Tv,nimegundua kuwa lemutuz anaishi kwa kufuata falsafa aliyoitengeneza mwenyewe kitu ambacho wengi hawana,sasa ni muda wa kumuacha lemutuz aendelee na falsafa yake bila kubughudhiwa.

3.CUF na Lipumba bado hawajajua wanachotaka,hawa wanamlilia Lipumba wale hawamtaki Lipumba,Lipumba amejiuzulu uenyekiti na bado anataka uenyekiti.Tunahitaji sana kupewa elimu ya nini maana ya kujiuzulu,kwa kifupi kujiuzulu ni KUJIUZULU.

4.Mbio za ubingwa wa ligi ya Uingereza zitakuwa ni za farasi wawili,Man city na Man utd, ni vita ya Mourinho au Guardiola.
 
Ugunduzi wako hauna tija!
 
Hongera kwa kugundua vitu vipya...haya sasa tuelekeze tujue jnsi tutakavyo vitumia katika nyanja mbalimbali za maisha...
 
Unapogundua panya amekufa nyuma ya kabati unatumiaje ugunduzi huo kwenye nyanja mbalimbali za maisha?,kugundua ni neno mtambuka.
 
Sijawai Ona Thread mbovu kama hii who is Tuliaa..vyeo vya Ubebiiii...Babyyy Am cominggggg
Mbona aliliongelea hilo,tatizo unawaangalia watu ukiwa na negative attitude tayari,kwa hiyo huwezi ona positivity yoyote.
 
nilichogundua kwenye Uzi wako....wewe una matatizo
 
Mkuu, umeeleza vizuri sana, lakini kwa leo naomba niiruke namba 1 na 3. Hizo namba 2 uko sahihi kabisa, hicho ndicho wazungu wametushinda, kuwa na falsa yako ya maisha na kuishi katika falsafa hiyo Waafrika wengi hawawezi, ndio maana wengi wao ni wanafiki sana na hufuata kile wanachokiona. Namba 4, kwa upande mmoja unaweza kuwa sahihi na upande mwingine usiwe sahihi.
 
Mbona aliliongelea hilo,tatizo unawaangalia watu ukiwa na negative attitude tayari,kwa hiyo huwezi ona positivity yoyote.
Swali Dogo tu kwako..Mfano Wewe hapo ulipo..Boss wako akikuteua ukasimamie Idara Fulani ..yaani yy ndo kakuwezesha kuuva huo Uboss utakuwa Na Nguvu ya kupiga anachotaka..kwa taarifa yako usiyoijua Huyo Tulia almanusura Afanywee kuwa Spika..Watu wa Busara wakasema Jamani this is too much...mumuweke Hata Unaibu tutaeleweka kidogo kwa wananchi...ndoana from No where unamuona.Kifupi Kawekwa pale kwa maslahi ya waliomuweka..So don't expect any thing good coming from her Never!..And she will be hated for rest of her life.
 
db4c821d17437077bc9128548e16f5d2.jpg
ha ha
Hali hiyo yaweza kukukuta hata kabla au hata baada ya tarehe moja septemba. Na si lazima iwe kwenye maandamano ya kisiasa. Leo hii unashabikia matarajio ya watanzania kuumizwa na kuuawa, lakini wakati huo huo eti 'unasikitika' wengine wasipoonewa huruma wapatwapo na masaibu. Is this double standard or what?
 
Unapogundua panya amekufa nyuma ya kabati unatumiaje ugunduzi huo kwenye nyanja mbalimbali za maisha?,kugundua ni neno mtambuka.
Hapo hujagundua bali umeona tu, kugundua ni lazima kuwe na scientific procedures ambazo hata MTU mwingine akielekezwa anaweza fikia hitimisho lako!!!
Mfano Kitu kama MTO, mlima hivi havi gunduliwi kwasababu ni hiko pale tu vinaonekana!!! Kwahiyo hata fikira za hao watu zipo tu hujazifanyia any scientific experiment
 
Unaongea kupitia scientific point of view,hujawahi kugundua kabila la mtu kupitia lafudhi yake? kugundua ni neno mtambuka!!
 
Hapo unakuwa umefaham au kujua kabila lake, nadhani kiswahili labda kina maneno machache kwasababu kwa wezetu waingereza hii unayo zungumzia ni discovery na kugundua ni invention ambayo inahusisha scientific procedures
 
Swali Dogo tu kwako..Mfano Wewe hapo ulipo..Boss wako akikuteua ukasimamie Idara Fulani ..yaani yy ndo kakuwezesha kuuva huo Uboss utakuwa Na Nguvu ya kupiga anachotaka..kwa taarifa yako usiyoijua Huyo Tulia almanusura Afanywee kuwa Spika..Watu wa Busara wakasema Jamani this is too much...mumuweke Hata Unaibu tutaeleweka kidogo kwa wananchi...ndoana from No where unamuona.Kifupi Kawekwa pale kwa maslahi ya waliomuweka..So don't expect any thing good coming from her Never!..And she will be hated for rest of her life.
Waziri mkuu,makamu wa rais,mawaziri,makatibu wa wizara,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa miji,manispaa na majiji wote wamewekwa na bosi huyo huyo,kwa nini achukiwe huyo dada tu?
 
Back
Top Bottom