Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!
Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.
Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo. Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!
Ukweli au jambo la uongo, lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.