Imagine mimi na mama yako tulikaa na kukesha kwa shauku kwa miezi tisa kukusubiri uzaliwe then Wewe hapa una week tu ndio unaanzisha uzi kama huu.
what a time lost!.




Oo pole,ungepita tu kama 😅😅😅
Hakuna kitu mkuu nimepita njia tu
Sijaenda!😂nilienda msalimu mama nikarudi
😂😂kuoa au kutokuoa...u single mom au kuolewa mbona imekuwa ni maisha tu kama maisha mengine...uliza mkuu...kote kwa moto😉Wale wa "USIOE, JALI MAISHA YAKO" wameshachukua diary kuongeza point. Idadi ya single mama tutarajie kuongezeka kwa mwaka 2023.