Nilichogundua kuhusu mnyanduano

Mwanaume Mwenye sura ngumu ukizaa nae mtoto wa kike sura ya baba,mama lawama zinakuhusu toka kwa mtoto
Doooh sodhani km kuna ukweli wowote hapa maana kuna wanawake pia wana sura km futari ya Magimbi, sasa mtoto anatokaje na sura nzuri km wote wana sura za kikauzu?
 
Weekend mnaanza kulewa mapema, mpaka mida hii c ajabu mmesha zima
[emoji23][emoji1787]
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji1787][emoji847][emoji1544]Mwanaume mzuri sura ni mtamu kwenye romance afu mwanaume Mwenye sura mbaya ni mtamu kwenye kuduu especially hatua ya kupiz.....afu ajaaliwe mtalimbo.(
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…