Unapendaga ubishi usio na msingi, unasema nimeleta data unofficial wakati ile imetoka TAMISEMI.. Mimi siko Mwanza, wewe ndiye huko Mwanza, Kama nilicholetea ni uongo basi leta wewe uliyeko huko Mwanza mapato ya kweli. Ni aibu kwa wewe uliyeko Mwanza uniombe mimi ambaye siko huko data za Mwanza ambazo unaweza kuzipata kwa Mkurugenzi wako..Mkuu nilimzungusha kdogo mitaa ya bwiru, akahamia kwenye GDP, hatujakaa sawa mara akatokea fisadi kuu...akahamisha mada kwenye tax revenue regional statistics, nikamwambia tubak mjin...akaniletea unofficial report hku ak ignore ilemela, nikamwambia bas anipatie statistics ya mapato ya nyamagana, ilemela na arusha district...Mara viwanda vilivyoanzishwa Kilimanjaro, mara biashara, nikamwambia alete takwimu hzo kiwilaya zaid... Viwanda vilivyoanzishwa ilemela, nyamagana, arusha, mosh nk....mana hapa issue ni mji vs mji, sio regional vs regional
Dah..mkuu we ndo ulileta data zako...bas anyway usiwe ugomvi sana...!!! Ngoja tuishie hapaUnapendaga ubishi usio na msingi, unasema nimeleta data unofficial wakati ile imetoka TAMISEMI.. Mimi siko Mwanza, wewe ndiye huko Mwanza, Kama nilicholetea ni uongo basi leta wewe uliyeko huko Mwanza mapato ya kweli. Ni aibu kwa wewe uliyeko Mwanza uniombe mimi ambaye siko huko data za Mwanza ambazo unaweza kuzipata kwa Mkurugenzi wako..
Usiwe unabisha kwa maneno matupu... Leta hapa vithibitisho..
Nimeangalia hapo kwenye web Arusha City Council wenyewe walikusanya katika Own Source Revenue Tshs 8,496,074,000/= na Intergovernmental Transfers ni Tshs 32,916,721,744/= ambapo inapelekea total Revenue kuwa Tshs 41,412,795,744/=Individual Council Budget Reports - Local Government Information - Tanzania Mainland | PMORALG 2012/13
angalieni hapo kutoka tamisemi hiyo Ni 2012/2013
Chapa Masai sjui zimepotelea wapi na katambuga zao.....!!!!Nimeangalia hapo kwenye web Arusha City Council wenyewe walikusanya katika Own Source Revenue Tshs 8,496,074,000/= na Intergovernmental Transfers ni Tshs 32,916,721,744/= ambapo inapelekea total Revenue kuwa Tshs 41,412,795,744/=
Ambapo Mwanza City Council wenyewe walikusanya katika Own Source Revenue Tshs 12,187,322,000/= na Intergovernmental Transfers Tshs 70,061,388,073/= na kufanya jumla ya Revenue kuwa Tshs 82,248,710,073
kwa hesabu hizo Mwanza City Council walikusanya mara mbili zaidi ya Arusha City Council...
Wamelala mbele...Chapa Masai sjui zimepotelea wapi na katambuga zao.....!!!!
Hizo ni plannings wala zisikutishe hata budget zinazosomwa pale bungeni huwa ni plannings ambazo awali zilikua hata 35% ya hizo targets hazifikiwi.Individual Council Budget Reports - Local Government Information - Tanzania Mainland | PMORALG 2012/13
angalieni hapo kutoka tamisemi hiyo Ni 2012/2013
Hahahaaa watu wanachekelea budget plannings hawajui hata mtu unaweza kuplan kutumia billion 12 this year ukaishia kutumia elfu 47.5 achilia mbali plannings zenyewe kuwa za mwaka 47.
TRA Mwanza/Geita waliplan kukusanya trillion 8 wakaambulia billion 123 mwaka 2015
TRA Mwanza washindwa kufikia lengo
TRA wanakusanya hiyo pesa kwa mwaka regional revenue.serikali nzima inahangaika kukusanya 1 trillion tena kwa sasa, kipindi kile ilikuwa billion 800-900 kwa mwezi, kwa hiyo mapato ya serikali yalikuwa hayafiki trillion 10, leo mwanza na geita wakusanye 8 trillion, zungusha akili yako achana na uandishi wa watu wasiotumia akili na wewe uwafuate kwa ujinga wao
Kuna watu wachovu sana hakuna kitu kichwani... hajui hata Own Source Revenue katika halmashauri ni kitu gani... anasema eti ni budget plan...
Bupuru tupu, hakuna kitu...
.Na ndicho kinachoitofautisha na mikoa mingine.Ni kweki Dar IPO advanced lakini Arusha ni unique sana na mikoa mingine.
Lakini tuliaminishwa ni mijawapo ya mkoa maskini kwa kipato wakati wa kupitisha bajeti mwaka huu.Wewe nimeamua tu kukupuuza sababu taarifa zako ni za uongo mtupu na hazina uwiano kajifunze maana ya haya maneno kwanza ndio uje hapa.
Regional Council
City Council
Municipal Council
District Council
unafananisha Revenue ya Arusha Municipal Council yenye District moja ambayo hata haijakamilika (Municipal) na Mwanza City Council yenye two whole districts?
Hauna uelewa na unachoongea zaidi ya ushabiki.
Hata Own Source Revenue zinakadiriwa vilevile.
Plannings are always wishes sisi tumeleta Reports sio viplan vya miaka ya uhuru.
Leta Reports angalau Arusha ikiwa jiji.
Yani wewe ni hovyo kabisa...Umekaa kishabiki na ubishi kimbe kichwani ni matope....Badala wewe ndo utuletee data za Mkoa wako unataka huyu wa Arusha ndo akuletee...Mkuu leta mapato ya wilaya ya ilemela, nyamagana na arusha...tufunge mjadala
Hivi wewe umeingia kwenye hiyo web au unaongea tu...?! Kwenye hiyo web kuna Halmashauri zote Tanzania na kiasi kilichokukusanywa katika Vyanzo vya Halmashauri yaani Own Source Revenue zipo data mwisho mpaka mwakaa 2012/2013Wewe nimeamua tu kukupuuza sababu taarifa zako ni za uongo mtupu na hazina uwiano kajifunze maana ya haya maneno kwanza ndio uje hapa.
Regional Council
City Council
Municipal Council
District Council
unafananisha Revenue ya Arusha Municipal Council yenye District moja ambayo hata haijakamilika (Municipal) na Mwanza City Council yenye two whole districts?
Hauna uelewa na unachoongea zaidi ya ushabiki.
Hata Own Source Revenue zinakadiriwa vilevile.
Plannings are always wishes sisi tumeleta Reports sio viplan vya miaka ya uhuru.
Leta Reports angalau Arusha ikiwa jiji.
Huwezi kusema tumeaminishwa ile ni report ambayo imepitia process za kisayansi sio siasa.Lakini tuliaminishwa ni mijawapo ya mkoa maskini kwa kipato wakati wa kupitisha bajeti mwaka huu.