elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
- Thread starter
-
- #41
Mazuri yapo mengi ila nimeshangaa nyumba inaweza ikawa haijaisha vizuri lakini ina vioo aluminumNadhani mtoa Uzi ni mtu wa public transport sana ndio maana kaanza na bus stand... that is good observation
Ila ungezungumzia nayaliokuvutia sio umeishia kuponda tu
Kama ili ni kweli imetengwa mbayaCha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Mkuu nije unizungushe humu jamiiforum au tuchekiane pm?Njoo tukuzungushe jijini.jiji halichunguliwi ukiwa ndani ya Lori la mkaa !!
Stand na ukanda wake kuna vighorofa fulaniTulia hapo hapo stand ni pazuri panakufaa.
Nisubiri hapo hapo stand !!Mkuu nije unizungushe humu jamiiforum au tuchekiane pm?
Hata Arusha karatu kuna plain ndefu mnoNothing is impossible kama land surveyors wapo... Halafu, hebu pita barabara ya Arusha- Namanga uone tambarare zilizopo...
Ni kweli make safari zinaanzia KIAKama ili ni kweli imetengwa mbaya
Kisongo ni uwanja wa matoroli?Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Haha baelezee wamezoea uko dar kwenye jam na mitakataka ya kila ainaMtu anayekuja Arusha anasema Arusha si pazuri anashida zake tu, hajiu lolote kuhusu A City. Umekuja Arusha kufanya nini? Unachapaa kwenda sehemu nzuri? Kumbuka mgeni yeyote mtalii anaweza zunguka Tz lakini akifika Arusha anajua amefika sehemu ya kipekee Tz. Kuanzia hotels, hali ya hewa, watu wake and everything.
Tatizo watanzania wengi wanaotoka mikoa isiyo ya kitalii ni "washamba" na hawajui lolote kuhusu lifestyle ya Arusha na uzuri wake. Hii ndio sababu kuu. Watu wa Arusha ni kama Nairobi....no nonsense type.
Arusha all day everyday
[emoji1] [emoji1]Njoo tukuzungushe jijini.jiji halichunguliwi ukiwa ndani ya Lori la mkaa !!
Umewahi kupanda ndege?Huo uwanja ndio nausikia leo, bila shaka utakuwa mdogo sana........ Shukuruni KIA upo jirani ndio unaokoa jahazi.