Nilichogundua kuhusu ACACIA

Nilichogundua kuhusu ACACIA

Katika kujifikilia nimegundua kuna vitu vya ujanja ujanja na kujishtukia

kma hawa jamaa hawajasajiliwa miaka yote vyombo husika vilikuwa wapi..? pia walikuwa wanalipa kodi kidogo walikuwa wanalipa kma nani..? walikuwa wanasafilisha mchanga kma akina nani
.? pia hiyo.kodi kiduchu alilipwa nani..?

nlicho gundua hapa nikama kisa cha manji kuwa diwani alafu syo.mtanzania na hana vibari wakati ana makampun nchini

issue nliyo iona hapa selikali imeona hainufaiki na ACACIA na wamejua wakivunja mkataba watapata hasara njia waliyo tumia ni kusema hawa jmaa ni kampuni hewa ili wajisajili upya ili mkataba uanze upya.. hakuna jipya apa
kama ndiyo mtego wamenoa ,na wao hawatakubali kujisajili upya kama mbwai na iwe mbwai
 
cccm walialibu saizi wanajikosha alafu wanashindwa kuwa wakweli wanachanganya watu
wajinga sana sasa wanajifanya kana kwamba kipindi hicho WAPINZANI ndiyo walikuwa wameshika Dola na kuingia mikataba
 
wajinga sana sasa wanajifanya kana kwamba kipindi hicho WAPINZANI ndiyo walikuwa wameshika Dola na kuingia mikataba
sawa na manji et hana vibali vya kuishi nchini wakat diwan wao na anamakampun.nchini
 
Tangu '98 najiuliza mamlaka zilikuwa wapi au ndio yale mambo ya BUSINESS AS USUAL?
 
Back
Top Bottom