Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
Niko vizuri nashukuru. Nimerudi now kimwendokasiAhsante sana kwa salaam, niko bomba sana namshukuru Muumba wetu. Vipi nawe ukoje? Umeadimika siku hizi humu ndani.
Niko vizuri nashukuru. Nimerudi now kimwendokasiAhsante sana kwa salaam, niko bomba sana namshukuru Muumba wetu. Vipi nawe ukoje? Umeadimika siku hizi humu ndani.
Niko vizuri nashukuru. Nimerudi now kimwendokasi
Hahhahahahahahaha. Salam zimefika. Sijui nimsalimie wakati naprove utamu aliosifiwa sehem flani. LolNafurahi kusikia hivyo, karibu sana jamvini, tulikumiss. Msalimie sana Bwan' Chuchu.
Sio kwl m mwenyw mmakonde tena wa newala karbu na msumbijinikweli kabila za kusini mtwara
mwanammke ndo mwenye watoto.. pia mume akienda kuoa mahala anahamia huko
yani dizaini kama anaolewa.
hio ni asili yao haiwezi kupotea.
japo kwa sasa imepungua hasa kwa tunaokaa mijini (wamakonde,wamakua,wayao,wamwera)
kwa mfano mimi mama angu mmakua baba mtu wa musoma
sisi ni watoto wa baba
japo tunaishi mjini na tumelelewa mazingira ya kimakua sana ...
kama vile tumechezwa, tuna ukaribu sna na ndugu wa mama kuliko baba..
ila mwisho wa siku ni makubaliano yako na huyo dada..
kuhusu kuchukua watt kulelewa na bibi zao wamakonde wanapenda sana watto
kwahiyo ukionyesha huna mapenzi wanamchukua mtoto wanakaa nae...
Naomba nikusalimie
Habari za saa hii wadau,
Hope mko poa na mishe zinasonga hata kama ni kiubishi...
Ni hivi;
Moja kati ya siku chache zilizopita niliamua kumpeleka mchumba wangu kwetu.Mimi najitegemea na ninaishi mbali kidogo na familia yetu kutokana na kazi.Baada ya kufika nae tulikaa pale tukapiga stori mbili tatu mpaka mida ya usiku then tukaenda kulala,kifupi tulikaa pale kwa muda wa siku kama tatu then tukarudi kwenye makazi yetu mi na mwenzangu.
Huyu binti (naomba nimtaje kabila kwa maana ndo msingi wa thread hii) kachanganya kabila, baba ni mtu wa Singida (Mnyiramba) na mama ni wa kusini (Mmakonde).Sasa kilichotokea baada ya kurudi huku nakoishi kesho yake nilipigiwa simu na shangazi yangu nakuniambia haya yafuatayo:-
Binti ni mzuri tumempenda ni mpole na ana sifa nyingi nzuri, ila tatizo kabila lake. Wao (wamakonde) udamaduni wao ni kwamba watoto wote ni wa upande wa mama, hivyo mkipata mtoto tu akishaanza kutembea anakuja kuchukuliwa na bibi yake (mzaa mama) anaenda kulelewa huko we mume huna chako tena.
Vilevile mjomba mtu (kaka wa mwanake utakayemuoa) ndo anakuwa na amri juu ya huyo mtoto kuliko wewe baba yake.
Nikamuuliza shangazi kwanini inakuwa hivyo?
Akanijibu hivi:-
Kwasababu wanaamini mwanaume anaweza kusingiziwa mtoto na mkewe akaambiwa wake kumbe sio. Hivyo kwasababu mtoto wao ni wa kike wanaamini kile alichojifungua ni halali yake kwasababu kimetoka kwenye tumbo lake kabisa kwahiyo yeye ndo mwenye mtoto.
Hivyo kazi kwako baba sisi tunakushauri tafuta binti mwingine au laa!Ukitaka mwenyewe oa ila usije ukarusha ngumi kwa shemeji zako huko mbeleni.Nikachoka!Mpaka sasa nimejaribu kutafuta ukweli wa hili ila bado sijapata majibu ya kuridhisha. Ningependa mwenye kuelewa hili swala hebu anifahamishe je ni kweli wamakonde watoto wote huwa upande wa mama?Na kwanini? Huenda nikapata kitu tofauti hapa.
Natunguliza shukrani karibuni kwa uchangiaji.
Mimi kila siku haya mambo napigia kelele. Hivi mwanaume unaanzaje kumuogopa mwanamke kisa kabila lake? Jiamini mwanaume. Huwezi kukuta wanaume wa haya makabila wanaogopa mwanamke: wameru(kwetu), wahaya, wajaluo, wakinga, wakurya, wahehe, wachaga, wanyakyusa, wajita, wamasai n.k, kwa sababu wanaume wa hayo makabila wanajiamini.
Ashakum si matusi, na wasiwasi wewe utakua unatoka makabila wanaume wake zembe na jinga kuogopa mwanamke.
Iji ng'ombe joseee ni ja kwenu
Hahhahahahahahaha. Salam zimefika. Sijui nimsalimie wakati naprove utamu aliosifiwa sehem flani. Lol
Nafikiri hii ndo ingekuwa sababu ya kwenda kuwaambia ndugu zako. Mama mmakonde, ila aliondoka na amelelewa na mama wa kabila lingine... possibly hata huko umakondeni hajafika let alone kufuata mila zao. Ongea na ndugu zako, waelimishe kuhusu hiloBinti hana shida kusema ukweli namuona katulia, labda kama anaficha makucha. ila nimejaribu kumuulizia akasema haiko hivyo. Ukizingatia ye mwenyewe kalelewa na baba, mama aliondoka akiwa bado yupo shule ya msingi hivyo baba yake akaoa mke mwingine kutoka Tanga hivyo amelelewa sana na mama huyu wa kitanga.
Huu utaratibu haupo dunia yoyote na haukubaliki,lakini akiolewa kabila lingine inamlazimu afate taratibu alizozikutaHabari za saa hii wadau,
Hope mko poa na mishe zinasonga hata kama ni kiubishi...
Ni hivi;
Moja kati ya siku chache zilizopita niliamua kumpeleka mchumba wangu kwetu.Mimi najitegemea na ninaishi mbali kidogo na familia yetu kutokana na kazi.Baada ya kufika nae tulikaa pale tukapiga stori mbili tatu mpaka mida ya usiku then tukaenda kulala,kifupi tulikaa pale kwa muda wa siku kama tatu then tukarudi kwenye makazi yetu mi na mwenzangu.
Huyu binti (naomba nimtaje kabila kwa maana ndo msingi wa thread hii) kachanganya kabila, baba ni mtu wa Singida (Mnyiramba) na mama ni wa kusini (Mmakonde).Sasa kilichotokea baada ya kurudi huku nakoishi kesho yake nilipigiwa simu na shangazi yangu nakuniambia haya yafuatayo:-
Binti ni mzuri tumempenda ni mpole na ana sifa nyingi nzuri, ila tatizo kabila lake. Wao (wamakonde) udamaduni wao ni kwamba watoto wote ni wa upande wa mama, hivyo mkipata mtoto tu akishaanza kutembea anakuja kuchukuliwa na bibi yake (mzaa mama) anaenda kulelewa huko we mume huna chako tena.
Vilevile mjomba mtu (kaka wa mwanake utakayemuoa) ndo anakuwa na amri juu ya huyo mtoto kuliko wewe baba yake.
Nikamuuliza shangazi kwanini inakuwa hivyo?
Akanijibu hivi:-
Kwasababu wanaamini mwanaume anaweza kusingiziwa mtoto na mkewe akaambiwa wake kumbe sio. Hivyo kwasababu mtoto wao ni wa kike wanaamini kile alichojifungua ni halali yake kwasababu kimetoka kwenye tumbo lake kabisa kwahiyo yeye ndo mwenye mtoto.
Hivyo kazi kwako baba sisi tunakushauri tafuta binti mwingine au laa!Ukitaka mwenyewe oa ila usije ukarusha ngumi kwa shemeji zako huko mbeleni.Nikachoka!Mpaka sasa nimejaribu kutafuta ukweli wa hili ila bado sijapata majibu ya kuridhisha. Ningependa mwenye kuelewa hili swala hebu anifahamishe je ni kweli wamakonde watoto wote huwa upande wa mama?Na kwanini? Huenda nikapata kitu tofauti hapa.
Natunguliza shukrani karibuni kwa uchangiaji.
Hahahaha mkuu haina kwere.ongeza na wadigo bwana, weweeeeeeeeeee sisi ukizingua mapema tunavuta mwingine, hakuna sijui mtoto sio wangu unapewa mtoto na mwingine tumboni, hatuna ugomvi wa kuata watoto wakikua watatafuta baba zao wenyewe.
Shukrani sana dada Evelyn, umenidadavulia haswa..... siku hizi mambo yamebadilika sana, muingiliano wa makabila umesababisha kubadilisha mambo mengi, wengi tunazaliwa kimjini tunakua kimjini mjini hizo asili na mambo za makabila hatuzijui tena wamebaki wachache sana wanaofata hayo mambo tena utakuta ni watu wazima kina shangazi, mchumba wako nae usikute hata hajui hizo mambo sasa atakujaje kumiliki watoto wakati hajui kama iko hivi? Muangalie yeye kama yeye ana sifa za mke unaemuhitaji? Unaweza kuishi nae hii yatosha
Habari za kusema watu wasingida sijui wapo vipi, i wanaocheat ndoa zao wote ni wa singida??? Wamakonde wengi tu tunawafahamu mbona hawana hizo
Ushauri wa ndugu zingatia ila pia wewe kama wewe fanya maamuzi
mlango huu huu tu labda ww ndio unitengenezee mwingine. hamisi nimemficha nampa mambo. lol. mzima ww? miss u sanaDuu... Wewe mtoto wa pande za Mpwapwa upo?. Long time no see... Au una mlango mwingine wa kuingilia humu!.@Husninyo. Msalimie Hamis!.