Kula mchicha kwa wingi.au nunua majani ya rozella yachemshe unywe kama juice iyo ni kiboko
Kula mchicha kwa wingi.au nunua majani ya rozella yachemshe unywe kama juice iyo ni kiboko
Kula mchicha kwa wingi.au nunua majani ya rozella yachemshe unywe kama juice iyo ni kiboko
Rosella juice ndo yenyewe! It is a great haemoglobin booster in just 2 weeks of daily drinking.
Unapoendelea kupokea majibu tambuwa hili;''Asilimia 94 ya damu ni maji'', ni kama kusema kwa kila lita 10 za damu uliyonayo lita 9 kati ya hizo 10 ni maji. Hata ukijikata na ukaona majimaji mekundu yanatiririka ujuwe hiyo si damu, hayo ni maji ambayo ndani yake kuna damu!.
Jieleze vizuri usaidiwe.
nadhani ungeanza kujibu swali la mdau hapo juu pengine ungepata ushauri mwingi. Ila kama ni mjamzito jaribu kula mboga za majani kwa wingi au kunywa aloevera