Me nakushauri kitu ambacho bibi yangu alitumia baada ya kupungukiwa damu mara kwa mara.kama unafamu majani flani huwa yanaota sehemu mbalimbali yanapatikana kwa wingi yana miba na katika ile miba kuna viua vyekundu huwa ukivinyonya vina utamu.sasa chukua yale majani chemsha kunywa maji yake damu itajaa hata wiki haiishi afu ulete mrrjesho hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.