Nikwanini baada yatendo wengi hatuwi romantic tena?

Nikwanini baada yatendo wengi hatuwi romantic tena?

Umeshautwaa ubunge kuna haja ya kuendelea kupiga kampeni? Ukiona unambwembwe wakati wa maandalizi halafu ukishusha wareno airport mzuka wa kuwa romantic unakwisha ujue kichwa cha chini kimeachia ofisi halafukichwa cha juu ndiyo kipo kwinye nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app

😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Najiulizaga kwanini Tukiwa tunajiandaa kuingia mzigoni huoneshana Mahaba mazito mazito tunaogeshana tunabebana kuvuana Nguo.

Lakini tunapomaliza tendo Kila mmoja ushika 50 zake Hakuna ile romantic tena kilammoja upambania Boxa bikini Yake ikowapi nakukimbilia kuvaa Kisha kuulamba usingizi.

Hii inakuwa hivi kwanini? Kisa kilamtu kashatimiza hajazake au Kuoneana Aibu?

View attachment 1370572

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye maisha ya kawaida ukishaliwa hakuna mtu anaweza kukusaidia let's say ukifukuzwa kazi hata mkeo anaweza kukuacha[emoji1787][emoji1787]
before-sex-you-help-each-other-get-naked-after-sex-12455770.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom