Nikwanini baada yatendo wengi hatuwi romantic tena?

Nikwanini baada yatendo wengi hatuwi romantic tena?

Katika maisha nimefanya mapenzi na mwanamke 1 tu ambaye nilikuwa huru na hata nilipofika Kibo nilibaki juu yake na huku nikimchumu vyakutosha, alinitosa na sasa siwaamini ng'ooo, ninafanya kusukuma siku
Haha"la Condom Naona Kama Kwelii lina makes sense

Pia ku Date Nawatu tusio nahisia nao nalo nitatizo inakuwa umefanya ilitu umalize haja zako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha" mkuu kuna demu alinisema sana
Yaani wewe mkaka haupo romantic kbs Unaanza kwakuni handle ukimaliza Unakuwa kama jogoo

Sikuhizi show ananibania dadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wetu tuko hivyo ila unaweza ukabadirika hata kwa kumkiss kiss hapa na pale na vimaneno viwili vya kumpata pole na kumuegemeza kifuani kwako kabla hujapitiwa na usingizi.
 
uliona wapi samaki akapewa chambo baada ya kuvuliwa?

Peace Out ✌️
 
sasa hapa romantic love inatokea wapi
worldwide_inst-20200227-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za ufuska nikimvua nguo ya ndani naivaa shingoni. Baada ya kazi ni pillow fights, kufinyana na romantic stories. Cuddling pamoja na zile simulizi zao ambazo hazina kichwa wala miguu hehee. Huwezi kumla mwajuma kimasihara alafu mkawa romantic baada ya tendo!
 
Watu mna Experience sio mchezo

Back
Top Bottom