Nikwanini baada yatendo wengi hatuwi romantic tena?

Nikwanini baada yatendo wengi hatuwi romantic tena?

Mimi baada ya tendo!
1545596541539.jpeg
 
Embu tueleze we umewezaji hivyo mbinu ulizotumia na changamoto maana hili ni janga kwelikweli kwenye jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi wewe?

Mimi mpenzi wangu ni mshikaji wangu na niko free nae kufanya chochote pia simpi nafasi ya kunizoelea kwamba akariri tukikutana tutaanza hivi tuishie hivi na yeye pia hanipi nafasi ya mimi kukariri kwamba ataanzia hapa aishie pale...ko every moment kwetu ni mpya..... Uromantic hauishi hata kama tumemaliza mchezo
 
Good..Hapa Niko na notebook pembeni hizi nondo hata Gudume hana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitaka kumpatia manzi aliyekusumbua muda mrefu ..baada ya mtafunano kiaina ifiche tight na upi yake...halafu akishamaliza kama kawaida yao huwa ndio nguo za kwanza kutafutwa....unamwacha anaitafuta wee ...mwishowe je atasepa bila kuvaa chu....p...i....

trust me akirudi tena kwako ujue huyo ni danga...
Umenikumbusha kuna demu alikuja Ghetto nikamgegeda akaenda kuoga akafua chupi yake.

Akaianika nje alivyotaka kuondoka akavaa nguo zake akaenda

Ile natoka nje kuangalia kwenye kamba nakuta chupi imeanikwa

Nikampigia simu kumwambia amesahamu chupi yake kwenye kamba nje

Alivyonijibu nilishangaa na kucheka sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafi nnaosema ni kabla ya tendo. Ingawa kuna wengine hata kama kaoga anakuwa na kashombo tu, hasa huko kwa bibi zenu! Wa hivyo ni ngumu sana kuendelea kukaa naye karibu, unawahi kugeukia ukutani Tu[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah,
 
Mimi na tamu wangu hata baada ya tendo huwa tupo romantic

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haha" mkuu kuna demu alinisema sana
Yaani wewe mkaka haupo romantic kbs Unaanza kwakuni handle ukimaliza Unakuwa kama jogoo

Sikuhizi show ananibania dadeki

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha the same ilinitokeaga kwa yule boyfriend alikuwa anajua kubembeleza hatari siku ukubali mtoke utainjooy hadi basi ila akishapata anachotaka hakusumbui tena. Nikamvumilia mara kadhaa nilipotimua yeye kuja kusanuka nishamtoa moyoni kitamboo.
Shughuli ya kuniangaikia upya ikaanza, hamna neno tamu sijaambiwa ila kirudi ndo imetoka hivyo.

Hiyo kitu ni mbaya usifanye hivyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haha" unajuwa issue nikuwa wewe Unakuwa ume fall Alafu mm sinahabari hilo Ndio tatizo hasaaa
Mapenzi ukiyatizima niutoto flan basi tuu
Hahahaha the same ilinitokeaga kwa yule boyfriend alikuwa anajua kubembeleza hatari siku ukubali mtoke utainjooy hadi basi ila akishapata anachotaka hakusumbui tena. Nikamvumilia mara kadhaa nilipotimua yeye kuja kusanuka nishamtoa moyoni kitamboo.
Shughuli ya kuniangaikia upya ikaanza, hamna neno tamu sijaambiwa ila kirudi ndo imetoka hivyo.

Hiyo kitu ni mbaya usifanye hivyo

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitaachajamani Maana niliumiza watu naona Kama Mungu ananilipia na meme Huh"

Back
Top Bottom